Home
Unlabelled
mabango
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mabango yakiwa mengi mjini unakuwa uchafu! Kuna haja ya mamlaka husika kuangalia ni namna gani watadhibiti wingi wa mabango mijini. Nafahamu ni chanzo muhimu cha mapato kwa halmashauri nyingi za miji lakini yakizidi yanaharibu mandhari ya miji.
ReplyDeleteNawasilisha!
Uharibifu wa Mazingira wewe unaasema inapendeza??
ReplyDeleteAmakweli Michuzi umechanganyikiwa, mabango unasema yanapendezesha mji!! You better take that back.
ReplyDeleteAh nyie maanon wawili wa kwanza kabisa hapo juu hebu acheni kulalamika lalamika kama wanawake. Hayo mabango yamepangwa katika mpangilio unaotakiwa. Sikatai inawezekana mpangilio ukaboreshwa zaidi lakini sio kweli kwamba yanachafua mji.
ReplyDeleteMichuzi naomba uwaoneshe hao jamaa mibango ya enzi hizo Dar kabla ya utaratibu huu wa mabango ya kisasa ya kulipia kuanza. May be wata-apperciate kidogo.
We Anom wa oct.7.12:14
ReplyDeletetutake radhi wanawake sisi ni mama zako.tuma maoni yako kama uonavyo husikandie kina mama.
I won't go as far as calling them uchafu, but they're a distruction! They're far too may especially those of CELTEL. Yes, probably it's a good source of income for the Dar City, but what about the CELTEL customers, who've to pay for this cost? CELTEL is one of the most expensive networks in Tz if I'm not mistaken.
ReplyDeleteAnony 12.14 EAT Tafadhali toa comments zako kivyako swala la hao watu kuwa wanawake au wanaume alihusu? je umejuaje kama hao siyo wanawake wakati wamejitaja ma anony kama wewe? Tulindie heshima yetu na ututake radhi wanawake.
ReplyDeleteComing to the point hayo mabango yamezidi kuwa mengi..on top of that yanaweza attract attention ya madereva kuyasoma , dereva mpaka ayamalize atastukia mzinga buuuuh! na hapo nahisi maeneo ya Salender duuh! one minite wazee washamdaka.
Bongo bwana.. hiyo ni minara ya taa baada ya kushughulikia taa ziwakewanaweka matangazo kibao.
ReplyDeletehii akili kweli? usiku giza totoro walau hayo mabango yangekuwa yanawaka taa yangesaidia madereva.
jiji hiyo pesa ya mabango katafuteni taa jamani aibuuu.
Some people dont think beyond their nose.shame on you.get a life and stop complaining.......hoo yanaleta uchafu....shut the f**k up.
ReplyDeleteanony 12:14 please..kama mkeo analalamika basi usifikiri kila mtu anayelalamika ni mwanamke ulimwenguni ...oh please wanaume wakibongo bwana tabu sana...
ReplyDeleteStereotype nyingi sana na hamna hata mtu anakemea hili..kila kibaya kinafananishwa na mwanamke...Hebu utuache huko.
Toa point yako bila kuundermine wanawake ebo mfyuuu...mmezidi...This is another century my dear kama mliwasema sema mama zetu nao wakakaa kimya that was then and this is now...
Nyie wanawake mnaozidi kulalamika kwa kuambiwa ukweli you are just proving the stereotype.
ReplyDeleteWHEN YOU ARE IN A HOLE STOP DIGGING
Kwa kweri mimi rimeniboa sana hiro ri anony hapo juu, eti wanawake, hivi ririzariwa na mwanamke au ririokotwa bafuni, yaani comment ya aina hiyo katika enzi hii ni upuuzi wa halii ya juu na utovu wa maarifa. Enzi zileeeeeeeeeeee!!! ungenekana kati ya wazembe kama wewe. mfyuuuuuuuuuuuu!!! imenitouch sana.
ReplyDeleteMuone vile!!! ala
We anon 12:14, Ni nani aliyekuleta duniani na kukulea kama sio mwanamke? Kaa ukijua kuwa umetuvunjia heshima. Topic ni mabango, we umezunguka mpk unawataja wanawake kwa dharau bila sababu. Hebu tutake radhi!
ReplyDeleteWanaume wa kibongo sio stereotype????.Dada yangu please usimrekebishe mtu na huku wewe pia unawatukana wanaume wote wa kibongo wakati aliyekuudhi ni mmoja.Taratibu dada yangu tutafika bila kunyoosheana vidole.
ReplyDeleteMwanamke nakuunga mkono dada yangu. Wanaume wengi wa kibongo hawana nidhamu kabisa. Lakini nimekuja kufikiria ni kwa nini wako hivi, nikagundua hawa wanaume wako very insecure, na kujisikia vizuri kwao ni kumtukana mwanamke, sasa sijui walijizaa wenyewe au vipi? Na ukimchunguza sana mwanaume yoyote yule mwenye kukashifu wanawake ni very ignorant hana hadhi yoyote ile ndio maana sasa anafikiria akimtukana mwanamke basi yeye atakuwa yuko on top of his life, kumbe ndio kwanza anajitangazia upumbavu wake.
ReplyDeleteNilijua wabongo mtachonga saaana kama kawaida yenu! Matusi ya nini jamani! Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake ila mnakera mnapoanza kutukanana na kudharau wanawake! Nina wasiwasi mnaodharau wanawake hamkutoka tumboni mwa wanawake!
ReplyDeletenimependa sana anony October 7, 2007 2:12:00 PM EAT endeleza busara zako,ila mimi sipendi ku comment kuhusu ,ila natoa pongezi kwa anony niliye mtaja kwa kuweza kuweka busara , kwa sababu kama mpumbavu akikutusi sababu ya upumbavu wake, na wewe ukajibu kwa matusi,basi mtakuwa sawa
ReplyDeletemichu hivi hii blog kuna watu wendawazimu sasa mambo ya kutukanana wanawake kwa wanaume yanahusiana vipi na mabango yani watu wanaenda out of topic sijui watu wanafaulu vipi mitihani!
ReplyDeleteanyws kweli wapunguze mabango too much of everything is poisonous!
Ndugu Michuzi, kwanini unaruhusu matusi ya jinsia? Mi nadhni ungewazuia watu wa aina hii ili tuweze kuzungumzia mambo ya maana. Fungueni blog yenu ya matusi !!
ReplyDeleteWEWE October 7, 2007 12:14:00 AM EAT, MBAGUZI NA MNYANYASAJI WA JINSIA...TAFADHALI JIFUNZE ADABU NA UMUHESHIMU MAMA YAKO (ACHAKUMTUKANA/KUMDHALILISHA MAMA YAKO) NA WANAWAKE WENGINE ULIMWENGUNI..NA UNAJIONA MWEREVU KURUDIA UPUMBAVU WAKO October 7, 2007 11:21:00 AM EAT, (SASA LAANA ULIYOKUWA NAYO INA ZIDI KUJIONYESHA WAZI)
ReplyDeleteTURUDI KWENYE POIN: JIJI LINATAKIWA LIELEWE KWAMBA TOO MUCH OF ANYTHING IS HAMFULL.