Home
Unlabelled
RAMBIRAMBI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huzuni kubwa sana kwa nchi yetu kumpoteza mama kama huyu ambaye alikuwa ni mchapa kazi na ni mchehshi kwa kila mtu.
ReplyDeletemungu aiweke roho ya mama yetu mpendwa na waziri wetu mahala pema peponi,ameen
Very sad, R.I.P. H.E:Mrs S.J.Mbatia.
ReplyDeleteSasa michuzi uongozi mzima uko mstari wa mbele kweli hiyo ni vizuri. Lakini huo uongozi unampango gani katika kudhibi swala ajali za barabarani angalau zipungue ili kuponya maisha ya watu jamani kwani hali ya namna hii inaleta athari sana kwenye maisha na jamii kwa ujumla. Mtu akifa amekufa hakuna repair.
ReplyDeleteMungu amlaze mahali pema mama yetu. Amina.
ReplyDeletePole sana wanafamilia wote, si kitu kirahisi,ila mwenyezi mungu yuko, atawapa nguvu...
ReplyDeletemmeona jinsi mama alivyopendwa na kuliliwa na wengi, basi hiyo iwe nguvu na changamoto kwenu watoto,,mkakazane na maisha,muishi na watu vizuri na mfuate nyayo za mama.POLENI SANA na
mungu awape faraja yake...
Poleni wafiwa. Tutamkumbuka Dada Salome daima kama mtu aliyejituma katika kazi yake na hasa katika kusaidia kunyanyua hali ya akina mama Tanzania.
ReplyDeleteMungu amlaze mahali pema mbinguni. AMEN.
BWana ametoa na Bwana ametwaa...Jina lake lihimidiwe.
ReplyDeleteNawapa pole wafiwa na wamtegemee mungu ili awape matumaini.
May her soul rest in peace
Pole kubwa kwa wantanzania wote na familia ya marehemu Mama Mbatia. Ni kipindi kigumu sana kwa mwanaadamu yeyote anapofikiwa na hali ya kuwa katika majonzi ya kumpoteza mpendwa wako, lakini vile vile tunakubali kwamba kazi ya mungu haina makosa. Tuzidi kumuomba Mungu si kwa kumuombea mpendwa Mama yetu Mama Mbatia bali sote nasi tuwe na moyo wa uvumulivu na kukubali kwamba mwenzetu katimiza moja ya matakwa ya mungu hapa duniani. Mungu amlaze mahala pema peponi Mama yetu mpendwa, Amen..... (dRU K dACHI)
ReplyDeletemungu amlaza mahala pema peponi mama wa watu inatia uchungu sana kwa familia na jamaa kaka michuzi je unapicha za mazishi za huyo driver wa muheshiwa pls
ReplyDeleteNatuma salamu za rambirambi na pole nyingi kwa familia nzima ya Dr. Mbatia, na kwa Rais Jakaya Kikwete na uongozi mzima wa serikali.
ReplyDeleteMungu ailaze roho ya Marehemeu mahala pema peponi.
Amina.
Poleni wafiwa wote.
ReplyDeletepoleni familia ya Mbatia Mungu awape nguzu ktk wakati huu mgumu.
ReplyDeleteRIP dada, we are all on the same way we just don't know when, where and how it will come. The best thing is to try to be prepared, Amen.
ReplyDeleteTunapolia,tulie kwa Imani na tuamini kuwa ipo siku tutaonana na wapendwa wetu waliotutangulia marehemu Salome mbatia pia akiwepo huko Mbinguni kwa bwana.Yeye Bwana alitutangulia kutuandalia makao.Biblia inasema....Hakika kila nafsi hai itaonja mauti..."Kwa hiyo bwana alitoa na bwana ametwaa.
ReplyDeleteMajita
poleni sana wafiwa woote mungu awape nguvu
ReplyDeletePoleni wafiwa na Mungu awape amani katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDeleteKweli ajali zipo nyingi sana bongo.
katika kipindi kisichopongua miezi miwili tumepoteza viongozi, wengine wamekatika mikono kwa ajili ya ajali za nyiani. Je hao ambao hawana vyeo na hawawezi kuwa kwenye vyombo vya habari ni wangapi?
Inatisha
Pole sana familia ya Bw. Mbatia. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
ReplyDeleteAmen.
-----------------------------------
Serikali,
Tumechoka na hizi ajali ambazo tunaweza tukazipunguza. Huu ni wito kuwa ni lazima tuanze mchakato wa kuangalia udhaifu wa sheria za barabarani ili tuepukane na ajali za namna hii.
Waziri wa usalama na raia uko wapi na unampango gani kuhusu suala zima?
Aliyozusha kwamba marehemu amekufa siku mama yake aliyokufa mbona mama yupo ana miaka 90!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteREST IN ETERNAL PEACE DEAR SALOME!!
Mungu awape nguvu ndugu wote na marafiki.
R.I.P Mama Mbatia na poleni sana wanandugu na marafiki wa familia ya Mbatia.
ReplyDeletePoleni sana Wafiwa, Watanzania wote tuko pamoja na nyinyi katika kipindi hiki kigumu. Aunt Salome amepumzika kwa amani na siku ya Ufufuo tutaonana nae tena. Naomba kumuweka sawa huyo annoy October 27,2007 7:52:00 am Eat . Kuwa hakuna aliyezusha kuhusu salome kufa siku moja na mama yake hiyo taarifa imetoka kwa Dr. Mbatia inawezekana ujaelewa kuwa ni mama yapi kama mimi nimeelewa vizuri ni mama mzazi wa Joseph mbatia yaani mume wa Marehemu Salome mbatia.
ReplyDeleteRIP Mama Salome.......Mungu ip familia ya marehemu nguvu ya kuweza kusimama katika kipindi hiki kigumu!!!
ReplyDeletePole sana Familia ya wafiwa na watanzania wote. Sisi sote mavumbini tutarudi, Amen.
ReplyDelete