WADAU WA GLOBU HII TUTUMIE UKURASA HUU KUTOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA HAYATI SALOME MBATIA ANAYEZIKWA KESHO HUKO MOSHI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. huzuni kubwa sana kwa nchi yetu kumpoteza mama kama huyu ambaye alikuwa ni mchapa kazi na ni mchehshi kwa kila mtu.
    mungu aiweke roho ya mama yetu mpendwa na waziri wetu mahala pema peponi,ameen

    ReplyDelete
  2. Very sad, R.I.P. H.E:Mrs S.J.Mbatia.

    ReplyDelete
  3. Sasa michuzi uongozi mzima uko mstari wa mbele kweli hiyo ni vizuri. Lakini huo uongozi unampango gani katika kudhibi swala ajali za barabarani angalau zipungue ili kuponya maisha ya watu jamani kwani hali ya namna hii inaleta athari sana kwenye maisha na jamii kwa ujumla. Mtu akifa amekufa hakuna repair.

    ReplyDelete
  4. Mungu amlaze mahali pema mama yetu. Amina.

    ReplyDelete
  5. Pole sana wanafamilia wote, si kitu kirahisi,ila mwenyezi mungu yuko, atawapa nguvu...
    mmeona jinsi mama alivyopendwa na kuliliwa na wengi, basi hiyo iwe nguvu na changamoto kwenu watoto,,mkakazane na maisha,muishi na watu vizuri na mfuate nyayo za mama.POLENI SANA na
    mungu awape faraja yake...

    ReplyDelete
  6. Poleni wafiwa. Tutamkumbuka Dada Salome daima kama mtu aliyejituma katika kazi yake na hasa katika kusaidia kunyanyua hali ya akina mama Tanzania.

    Mungu amlaze mahali pema mbinguni. AMEN.

    ReplyDelete
  7. BWana ametoa na Bwana ametwaa...Jina lake lihimidiwe.
    Nawapa pole wafiwa na wamtegemee mungu ili awape matumaini.

    May her soul rest in peace

    ReplyDelete
  8. Pole kubwa kwa wantanzania wote na familia ya marehemu Mama Mbatia. Ni kipindi kigumu sana kwa mwanaadamu yeyote anapofikiwa na hali ya kuwa katika majonzi ya kumpoteza mpendwa wako, lakini vile vile tunakubali kwamba kazi ya mungu haina makosa. Tuzidi kumuomba Mungu si kwa kumuombea mpendwa Mama yetu Mama Mbatia bali sote nasi tuwe na moyo wa uvumulivu na kukubali kwamba mwenzetu katimiza moja ya matakwa ya mungu hapa duniani. Mungu amlaze mahala pema peponi Mama yetu mpendwa, Amen..... (dRU K dACHI)

    ReplyDelete
  9. mungu amlaza mahala pema peponi mama wa watu inatia uchungu sana kwa familia na jamaa kaka michuzi je unapicha za mazishi za huyo driver wa muheshiwa pls

    ReplyDelete
  10. Natuma salamu za rambirambi na pole nyingi kwa familia nzima ya Dr. Mbatia, na kwa Rais Jakaya Kikwete na uongozi mzima wa serikali.

    Mungu ailaze roho ya Marehemeu mahala pema peponi.

    Amina.

    ReplyDelete
  11. Poleni wafiwa wote.

    ReplyDelete
  12. poleni familia ya Mbatia Mungu awape nguzu ktk wakati huu mgumu.

    ReplyDelete
  13. RIP dada, we are all on the same way we just don't know when, where and how it will come. The best thing is to try to be prepared, Amen.

    ReplyDelete
  14. Tunapolia,tulie kwa Imani na tuamini kuwa ipo siku tutaonana na wapendwa wetu waliotutangulia marehemu Salome mbatia pia akiwepo huko Mbinguni kwa bwana.Yeye Bwana alitutangulia kutuandalia makao.Biblia inasema....Hakika kila nafsi hai itaonja mauti..."Kwa hiyo bwana alitoa na bwana ametwaa.
    Majita

    ReplyDelete
  15. poleni sana wafiwa woote mungu awape nguvu

    ReplyDelete
  16. Poleni wafiwa na Mungu awape amani katika kipindi hiki kigumu.

    Kweli ajali zipo nyingi sana bongo.

    katika kipindi kisichopongua miezi miwili tumepoteza viongozi, wengine wamekatika mikono kwa ajili ya ajali za nyiani. Je hao ambao hawana vyeo na hawawezi kuwa kwenye vyombo vya habari ni wangapi?

    Inatisha

    ReplyDelete
  17. Pole sana familia ya Bw. Mbatia. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

    Amen.
    -----------------------------------

    Serikali,

    Tumechoka na hizi ajali ambazo tunaweza tukazipunguza. Huu ni wito kuwa ni lazima tuanze mchakato wa kuangalia udhaifu wa sheria za barabarani ili tuepukane na ajali za namna hii.

    Waziri wa usalama na raia uko wapi na unampango gani kuhusu suala zima?

    ReplyDelete
  18. Aliyozusha kwamba marehemu amekufa siku mama yake aliyokufa mbona mama yupo ana miaka 90!!!!!!!!!!!!!!
    REST IN ETERNAL PEACE DEAR SALOME!!
    Mungu awape nguvu ndugu wote na marafiki.

    ReplyDelete
  19. R.I.P Mama Mbatia na poleni sana wanandugu na marafiki wa familia ya Mbatia.

    ReplyDelete
  20. Poleni sana Wafiwa, Watanzania wote tuko pamoja na nyinyi katika kipindi hiki kigumu. Aunt Salome amepumzika kwa amani na siku ya Ufufuo tutaonana nae tena. Naomba kumuweka sawa huyo annoy October 27,2007 7:52:00 am Eat . Kuwa hakuna aliyezusha kuhusu salome kufa siku moja na mama yake hiyo taarifa imetoka kwa Dr. Mbatia inawezekana ujaelewa kuwa ni mama yapi kama mimi nimeelewa vizuri ni mama mzazi wa Joseph mbatia yaani mume wa Marehemu Salome mbatia.

    ReplyDelete
  21. RIP Mama Salome.......Mungu ip familia ya marehemu nguvu ya kuweza kusimama katika kipindi hiki kigumu!!!

    ReplyDelete
  22. Pole sana Familia ya wafiwa na watanzania wote. Sisi sote mavumbini tutarudi, Amen.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...