Home
Unlabelled
samaki n'changa...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I luv their smile!
ReplyDeleterekebisha usemi kwenye tangazo la TIGO hapo juu THE COMPANY THAT VALUES AND LISTEN TO ITS CUSTOMERS na sio LISTEN CUSTOMERS
ReplyDeletethat is incorrect
Hehehee! Ze panyaz,hiyo kitu kwa wengine wakiifikiria ni kinyaa ila kina sie usipime! Nakumbuka kipindi ile nipo Sumbawanga sasa uwakute msimu wa mavuno ya karanga unakaribia kwisha ukawakamata kwenye mashimo yao huko utakuta wamehifadhi stock ya kutosha,ya haja! Na wao unakuta wamenenepa kama simbilisi ukiwabanika uwe makini maana waweza kuuzima moto kwa mafuta,jamani ni watamu(samahani msiowahi tumia hii kitu) uwaunge na karanga mchuzi mzitoo aisee!kama haupo makini ukikaa kwenye mkeka mbele yako kuna ugali unaweza ushindwe kuinuka. Michuzi hiyo kitu ni nzuri sana(kwa tunaowajua) ila si wale wa majumbani wale soo kali sana ni wa shambani kama uonanyo wadogo zangu hapo.Wale wanakula mazao ya mashambani kama karanga,viazi vitamu,ndago,mihogo, viini vya punje za mahindi. Ila ni waharibifu sana wa mazao hao jamaa nafikiri mtu wa kwanza kuwala alikua na hasira sana akaona awape adhabu hiyo doh! Akajua kumbe watamu!
ReplyDeletemichuzi mbona usemi kama form four wamefanya mtihani leo,au maswala ya elimu sio anga zako
ReplyDeleteaaaahhh! Michuzi umenikumbusha nyumbani Chikukwe-Masasi. Yaani huu ndio msimu wa Samaki Nchanga, wanakuwa na mafuta mafuta nomaaaaa!
ReplyDeleteMdau - 138 Olympia Crescent, Brampton, Ontario.L6X 4W4.
THE COMPANY THAT VALUES AND LISTEN TO ITS CUSTOMERS!!!!!!!!!!!!!!!!!! (incorrect)!
ReplyDeleteTHE COMPANY THAT VALUES AND LISTENS TO ITS CUSTOMERS (correct)!
Tangazo lisomeke:
THE COMPANY IN TANZANIA THAT VALUES AND LISTENS TO ITS CUSTOMERS.
Wengine wanaweza kutafsiri hiyo "adjectival clause" ya THAT VALUES AND LISTENS TO ITS CUSTOMERS kuwa ina-"qualify" Tanzania.
Waziri aendesha kikao na wafugaji kwa lugha ya kisukuma
ReplyDeleteNAIBU Waziri wa Maendeleo ya Mifugo, Dk Charles Mlingwa amewashauri wafugaji wa jamii ya Wasukuma wilayani hapa Mkoa wa Rukwa kuanzisha Ushirika wa Kuweka na Kukopa (SACCOS).
Dk Mlingwa alitoa ushauri huo katika kikao chake na wafugaji hao, kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Community wilayani hapa na kuhudhuriwa pia na wakazi wengine wa wilaya hiyo.
Katika kikao hicho kilichokuwa kikiendeshwa na lugha ya Kisukuma, Dk Mlingwa aliwaeleza wafugaji hao kuwa, wakitaka kufaulu vizuri na kupiga hatua za maendeleo ni lazima waunganishe nguvu zao pamoja.
" Jamani wasukuma wenzangu mngekuwa na ushirika wenu yaani Saccos yenu ingekuwa na pesa kweli kweli kwa maana ninyi mna pesa sana na ninyi kweli ni matajiri kwani baadhi yenu wammeniambia kuwa mna ng'ombe 600 sasa ushirika wa kuweka na kukopa ndiyo mkombozi wenu siwatanii," alisema naibu waziri huyo.
Aliwataka kujiepusha na migogoro kati yao na wakulima na kuongeza kuwa mkulima na mfugaji ni watu wanaotegemeana na kuonya kuwa, endapo watagombana itakuwa ni vigumu kupata maendeleo.
Awali kabla ya kikao hicho, Teddy Chambala, mkazi wa wilaya hiyo alimweleza waziri kuwa kumekuwapo na unyanyasaji mkubwa na uharibifu wa mazingira na mazao mashambani unaofanywa na wafugaji wa jamii ya kisukuma.
Chambala, alifafanua zaidi alisema kuwa wafugaji hao wamekuwa wakiwaonea zaidi wanawake wawapo mashambani na kujitapa kuwa vyombo vya sheria mahakama na polisi wamevinunua hivyo, haviwezi kuwachukulia hatua za kisheria.
Mwanamke huyo, alimuomba Waziri Mlingwa kuzungumza nao kwa lugha ya Kisukuma ili kuwafahamisha kuwa wanakiuka sheria kwa kunyanyasa wenzao.
Hapo ndo tutaona wataalamu wa grammar, wanaojua lugha fasaha ya kiingereza kwenye hilo tangazo la TIGO...na mimi narekebisha
ReplyDeleteTangazo lisomeke hivi:
THE COMPANY THAT VALUES AND LISTENS TO ITS CUSTOMERS....
Mchanganuo: maneno VALUES and LISTENS lazima yawe parallel, i mean the same prular to support the word COMPANY.
Hakuna haja ya kuweka TANZANIA kwanza si kampuni haiko bordered only to tanzanians everyone can be its customers, au the words ITS CUSTOMERS can standard as an adjective clause for location. However, kwa lugha fasaha kabisa hutakiwi kuweka neno ITS maana in marketing strategies ni kama huko bias to only whom you serve!
Mimi bango ningelikunguta maneno haya:
THE COMPANY THAT VALUES AND LISTEN TO CUSTOMERS.
Full stop! kama umesomea mwembeni najua utabisha saana!
bwana we sie nzuri hiyoo,nnyama huyo anaitwa YEILA AU MALUTU! ama baa!
ReplyDeleteOOOh! jamani mate yananitoka hayo ma YEILA ukipata na CHIKANDANGA au MING'OKO!!! yaaani chips kuku za Nandos hazioni ndani..michu niulizia contact za hao watu kama wanaweza kunisafirishia huku ughaibuni.
ReplyDeleteche mwali Chinga, UK
Form five utawajua tu.Sikutarajia kuona kuwa Mlalahoi nae ni form five.Aisee someni sana.Lugha ya watu hiyo.Jitahidini kula mlenda
ReplyDeleteMbona ile issue ya paka mlilalamika, lakini panya mmhhh, kweli mnyonge mnyongeni
ReplyDeleteHi, Mdau wa 8th October, mwenye address 138-Olympia Cresent Brampton Ontario l6x 4w4, umenikumbusha mbali kweli yani, nimeona neno brampton nikakumbuka nilivyotembelea huko mwaka 94, tulienda shule moja iitwayo William Howard School, iko Brampton, Cumbria, pia tulienda Carlisle, nimefurahi sana kwa kweli, na sijaiona tena ulaya toka kipindi hicho, tuwasiliane basi mwanawane. Unlike mountain people do meet.
ReplyDelete