mpiga kinanda wa akudo impact andrew sekidia akiwa kazini jana klabu ya msasani beach ambako bendi hiyo iliyokuja juu ghafla inatumbuiza kila jumapili na kukuna washabiki kwa mtindo wao wa 'pekecha-pekecha' ambao ni gumzo kwa sasa jijini. wana akudo watakuwa a-taun ama arusha iddi mosi kwa hiyo wadau wa huko kaeni mkao wa 'kupekecha' na kucheza 'kijotijoti' mitindo ambayo imebuniwa na bendi hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Yaani leo michu umekwachu kweli kweli!!!
    Huyo jamaa ananikumbusha mbaaaaali enzi zile za diamondi saundo na kibodi yake ,lol!!kweli siku hazigandi!!
    Haya wazee pekecheni vema halahala mijipekechue na nyie manake hamchelewi nyie!!
    kazi nzuri

    ReplyDelete
  2. Endrew Kiboda, mwana ubungo mamaaaa...
    Long time mzee kiboda tangu pale NHC nyumba ndogo,the orginal Daimondo saundo. alikuwa na mstaiki mea wa jiji alan Mulumba kashama, alikuwa na ibonga katumbi Jesus, Kamuke sukari, Mariam mamalao. Hiyo ni orginal dimond

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...