

na hapa ni ufukweni mwa bahari ya hindi mbele ya posta ya zamani ambapo kunang'arisha uzembe wa hali ya juu na kutojali mazingira na maslahi ya walipa kodi. kuna ubaya gani mammlaka ya bandari, kama yenyewe imeshindwa, kumpa mtu ama kampuni aipendezeshe sehemu hii ili walipa kodi wafaidi jasho lao? na hapo sijazungumzia kichekesho cha kupiga senyenge eneo la umma kwa madai vijisababu hafifu ya kiusalama. najua fika wageni wanatucheka sana kila wapitapo sehemu hizi...



michuzi na watu wako kuweni wastaarabu,sababu ustaraabu umewapiga chenga inaonekana matahitaji kuwekewa askari mpaka msalani,unakumbuka uliwauliza watalii ni vitu gani vipungufu na walikuambia nyanja ya usafi,serikali imechoka kulea mijitu mizima ambayo haijui maana ya ustaarabu.
ReplyDeleteMichu hapa wazungushe senyenge tuu..wasela wamepiga pupu ile mbaya na sehemu ya maficho yao ya ukabaji.
ReplyDeleteHata kama bandari imeshindwa kufuatilia hapo. Je Mayor wa jiji ni nani? Na anafanya nini kuhusu haya. Kama hii ipo nje ya jiji basi bandari ndio wakuulizwa. lakini nahisi hapo ni jiji linatakiwa kushughullia
ReplyDeleteHivi mayor anafanya nini? By the way ni nani?
Jamaa mwenye yellow juu alikuwa anawahi kushusha pupu..Duuh kakuta mlango umefungwa anawahi feri
ReplyDelete