mdau ashraff wa newala anafanya muziki wa kibongo na ana vibao viwili ambavyo anazungumzia vitu vizuri vizuri vinavyoipendezesha bongo, akiwa amejaribu kuwapa changamoto wabongo kujivunia vitu vya kwao zaidi ya kuisifia jamaica kwa saaana (kitu mbacho anasema hakimvutii kabisa). msikilize hapa www.myspace.com/maundibrossila si vibaya ukachungulia hapa http://en.wikipedia.org/wiki/Brain_drain kuona jinsi umwagikaji wa bongonangai unavyowaliza wengi kila mahali na sio bongo peke yake....


huyu dogo michosho ye anasema wabongo wajivunie vya kwao mbona ukiingia kwenye profile yake ya my space kapiga picha na t-shirt ya jamaica na ukisikiliza nyimbo zake zina beats za watu wa state mi nadhani mshikaji aseme mambo kwa vitendo
ReplyDeleteJAMAA MKALI,KAJITAHIDI SANA KWA WIMBO WAKE HUO,NIMEUONA WIMBO HUO,KAPENDEZA SANA NA PAMBA KALI,NYIMBO INA BITI NZURI NAYE KAJITAHIDI KUCHANA FRESH ILA WALE MADEM ALIO CHEZA NAO NDIO WALIO MUANGUSHA,ATA HIVYO MPANGILIO WA YALE ALIYO KUWA ANAIMBA HAYA KUWA YANAENDANI VIZURI KWENYE ZILE BEDI ZA KWANZA,ILA KWENYE BETI ZILE ZA MWISHO ALIJITAHIDI,MFANYO ALIVYO KUWA ANA SEMA "DEM WA KIBONGO ANAVYOKATA KATA,RUKARUKA"kweli tulimuana akikata na kuruka tofauti na mwnzo.Big up,keep it up.
ReplyDeletechrizo
AMECHANGANYIKIWA HAJUI ANACHOKISEMA. MUZIKI WA NCHI FULANI NI MANENO YA LUGHA YA NCHI HUSIKA AU NI MPANGILIO WA MLIO WA VYOMBO VYA NCHI HUSIKA? Hivi nikiimba wimbo wa Sean (Beautifull Girls)kwa kwiswahili utakuwa ni wimbo wa utamaduni wa mtanzania?
ReplyDeleteHana lolote michoshoo tu..mashauzi kwa wingi, yeye ashraf misalaba ya nini? kaniboa!!
ReplyDeleteNa mimi namuunga mkono Anonym wa 5:48.Nimeingia katika myspace yake nikaona yeye anawakilisha Rap ya States.Huo ni unafiki!.Acheni jamani mziki wa watu weusi ni wetu wote.Ukitaka kufanya Rap fanya,ukitaka kufanya Reggae fanya ila unafiki acha.Kwanza Reggae ndio iko karibu na asilia yetu sisi Waafrika tangu Slavery days.wake up!
ReplyDeleteMichuzi, siyo lazima upost matangazo yote kwenye blog yako, blog yako ina heshima sana kwa hiyo watu wanaofanya utani naomba usipost matangazo yao. huyu jamaa anachukua beats za watu and then anaimba bila hata ya mipanglio, this is a joke man. akitaka a-win, lazima awe creative, kitu alichofanya kila mtu anaweza fanya...this is BS man.
ReplyDeleteSasa huku kuva gani jamani?macheni na mapete yote hayo ya nini?kwani angeaa kiasi ingekuwaje?anaboer kusema kweli hata kumuangalia inatia hasira!!
ReplyDeleteWabongo, 4 once inabidi tuache Majungu kwa sana. Kuna maoni mengi yakusema ili kumsaidia kurekebisha mziki wake. Hii ndio tofauti yetu na nchi nyingine zilizoendelea. Ndo maana sanaa ya bongo haitoendelea kama watu wanakua bize Kubwabwaja na kupaka kuhusu kasoro zaidi ya kutoa maoni yatakayo rekebisha na kuwapa moyo wasanii kufanya vizuri zaidi.
ReplyDeleteNdio ndio ndio... Demu wa kibongo ananifanya nichukie jamaica!! Dogo noma. Kwahiyo acheni majungu wa bongo, thats a fun song, so U guys need to loosen up and have fun.
ReplyDeleteWe LOve U Ashraff. Keep Doing Yo thang bro. And just forget abt these haters.
ReplyDeleteWaungwana hebu punguzeni spidi, sio mnapayuka payuka tu. Mziki wa tanzania tokea enzi na enzi tumekua tukiiga style za mziki wa nchi mbali mbali. Mziki wa dance tumeiga Kongo. bongo flava na rap tumeiga wamarekani. Kwahiyo inakuaje mnamng'ang'ania dogo koo? Nyie ndo inabidi muache UNAFIKI.
ReplyDeleteWaungwana hebu punguzeni spidi, sio mnapayuka payuka tu. Mziki wa tanzania tokea enzi na enzi tumekua tukiiga style za mziki wa nchi mbali mbali. Mziki wa dance tumeiga Kongo. bongo flava na rap tumeiga wamarekani. Kwahiyo inakuaje mnamng'ang'ania dogo koo? Nyie ndo inabidi muache UNAFIKI.
ReplyDeleteWaungwana hebu punguzeni spidi, sio mnapayuka payuka tu. Mziki wa tanzania tokea enzi na enzi tumekua tukiiga style za mziki wa nchi mbali mbali. Mziki wa dance tumeiga Kongo. bongo flava na rap tumeiga wamarekani. Kwahiyo inakuaje mnamng'ang'ania dogo koo? Nyie ndo inabidi muache UNAFIKI.
ReplyDeleteBig Up Dogo!! We kaza msuli tu wenyewe watakukubali.
ReplyDeleteHe is CUTE
ReplyDeletekaka, video iko poa, ope uko na thanks givin poa, endelea kuroga vilivyo,
ReplyDeleteYeah Ashraff.. Mwaga Nyuki mazee!! Hilo ni dude la Club Kabisa hilo!!
ReplyDeleteRespect
ReplyDeleteThis is Mrs Ashraff to be.
ReplyDeleteNyimbo mbona imetulia? Hata mesej yake mbona ipo kwenye point?
ReplyDeleteDogo endelea kukamua tu. Mi nimemaind Video
ReplyDeleteSina mengi yakuongezea, ila namshauri dogo kutokukata tamaa kwasababu watanzania wengi hawana utamaduni wa kusapotiana.
ReplyDeletekijana kafunika mbovu, acheni unafki wabongo.
ReplyDeleteda mzee umelipuka si kitoto. poa basi keep it up my man
ReplyDeletenini zaidi ya kusema yimbo ni nzuri. imekaa poa babake. endelea kuwaakilisha kama kawa.
ReplyDeletewana choga sana juu yako achana nao, wanapoka pote juu yako achana nao. we engelea tu kukamua. usi give up.
ReplyDeletenyimbo iko poa, video dio usiseme mademu wakali, pomba umezinyuka. dogo umejitahidi.
ReplyDeletenyimbo imeturusha tuategemea viu vizurivizuri kutoka kwako.
ReplyDeleteNi bora airushe hii for funny tu lakini akijaribu kuiuza wenye bits zao watamsue kikwelikweli.
ReplyDeletehuyo mtu anaeandika comment za kumfagilia huyu dogo ni mtu mmoja anafanya kurudia tu,ukiangalia tofauti ya muda kutoka nov,23,6:47pm mpaka nov,23,7:00pm utagundua kwamba ni janja ya nyani usitufanye watu wajinga.
ReplyDeleteKEEP IT UP MY BRO. UMEFUNIKA BOVU. WABONGO MTAKUFA NA VIJIBA VYA ROHO
ReplyDeleteHey Ashraff achana na hates nyimbo imetulia. Na wale mademu ulionao kwenye nyimbo yako ni wazuri na ninajua mziki wewe uimbii shida just for fun keep going brother. Wewe sio kina fulani wanategemea mziki, na pia pamba zimetulia hao wanaozisema jua hawawezi kuvaa kama wewe, mbona wanamziki wangapi wa bongo wanaiga fashion za nje watajiju. Muhidin naomba uiweke comment wako maana tumechoka na hates.
ReplyDeleteInaonekana mtu mmoja alikuwa anatuma message ili kumsifia huyu jamaa, inawezekana ni yeye mwenyewe. Kaka Michu kumweka huyu jamaa unazua balaa mtani wangu.
ReplyDeleteKijana inabidi afanye REALITY CHECK, naona anatafuta umaarufu, sawa ngoja nimpe title "AL-MAAAAARUF"! HALO HALO
Ushauri wangu dogo rudi kusoma, fani ina wenyewe. Kaza buti kwenye kusoma ndugu ili upate kazi ya maana. Usiishie kwenye mabox na madukani!
Hivi nyie watu ni vichaa? Yani ushauri wenu mkubwa mnaoweza kumpa huyu kijana ni kuacha mziki. Mnajaribu kumkatisha tamaa. Dogo hii ndio shule, inabidi ujue ni jinsi gani Watanzania wenzako walivyo tayari kukuangusha kwa njia yeyote ile. and Dont ever in yo life be a quiter(kwa watu wote wenye roho ya sumu, A Quiter ni mtu anae kata tamaa na kugive up upesi) As long as unafanya mziki wa bongo, tegemea kupata madongo mengi zaidi ya pongezi. Maana kuna watu spaecial ambao wanatumia Michuzi blog kupondea watu tu. Kama huamini nenda ukacheki comment watu walizoweka kwenye album ya A.Y. Nandhani watakua ni hawa hawa walioweka comments za unafiki hapo juu. kwanini msiende kutafuta kazi za kufanya ili mjenge taifa?
ReplyDeleteAshraff tupe raha huyo anayekwambia urudi shule usiishie kubeba mabox. Kwanza akujui anaongea vitu asivyovijua wewe mziki kama fun tu, anadhani wewe mziki unaimba kwasababu ya kupata pesa kwa bado mdogo unauwezo wakufasha vitu vingi. Hao watu wanaokuponda kila siku ndio kazi walizonazo, we love u Ashraff nazidi kushine uwaumize wenye roho mbaya.Wabongo ukifanya vizuri watasema ukifanya vibaya watasema.
ReplyDeleteyou guys are not serious. Ni heri muwe simon cowell wa amrican idol aelewe mapema....kwa ushauri mfupi ni heri uandike miziki labda lyrics zako ni nzuri .
ReplyDeleteHapo sijaona muziki wowote zaidi ya kucopy sauti na bits za mtu mwingine na kuweka maneno yako..not good not good at all.
Tusidanganyane..Na kama unaweka kitu public expect na respect opinion za watu ...hamna hater kabisa hapa..ila watu wanaangalia na kueleza maoni yao. ndio maana sio wote wanauza nyimbo zao platinum...watu mkikalia wabongo haters basi mnataka tupalilie hata kitu kisicho na quality. bila kukosolewa na kuelezwa ukweli utaishia mitaani tu
Naomba kuwakilisha
Duh huyo jamaa hapo juu ni noma. jamaa hadi kapata muda wa kukaa kufuatilia comments zimetumwa saa ngapi. Mi nampa ponngezi huyo msela. Hii inaonyesha ni jinsi gani watu wan muda wa kukaa kwenye computer zao. Big Up
ReplyDeleteAccording to wht I C, Inaonekana jamaa anafanya mziki kwa fun. Na hiyo sio mbaya, ila kama anataka kufanya kama business inabidi awe more origional. But U never kno, tumesikia nyimbo yake moja tu, labda ana kazi nyingine. But anyways, dogo just take the good opinions and leave the bad ones. U dont have to listen to wht every single person is saying. Coz some of the comments posted really doesnt make any reasonable sense. good luck.
ReplyDelete