mdau makange alieko ujapani ameibuka na bonge la globu la teknolojia na ametualika wadau wote tumtembelee kupitia http://www.teknolojia.blogspot.com/ na anakaribisha maswali aina yoyote endapo kama mavituz mengine yatakuwa noti richebo. hongera makange kwa kuamua kututoa tongotongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kama blogu yake inabidi aandike posti zake. Sio ku-copy za wengine na kubandika kwake bila kuwapa credit.

    ReplyDelete
  2. Una uhakika gani kuwa anacopy za wengine?

    ReplyDelete
  3. Safi....Ila kaka misupu, naomba kuuliza, hivi ile zawadi ya mshindi wa utabiri wa ile mechi iliyopita ya England, vipi? Maana ulisema kuwa unamsubiri yule jamaa aliyetoa mkwanja arudi, na ulisema kuwa alishatoa mkwanja, ulikuwa unasubiri tu mechi iishe, na urudi dar from Arusha, sasa vipi, mbona kimya???

    Mimi ni mmoja katika hao waliotabiri vyema...Tafadhali tutanabaishie huo mtakabali..

    ReplyDelete
  4. Well done kijana makange.hivi vitu vinachukua muda na inahitaji kuwa patience kwa namna moja ama nyingine.na ni wakati kuwa positive,kuna mtu ametoa comments kuhusu ku copy makala za watu wengine.ni bora mwana makange ameweza kuwa na blog hata kama ana copy kuliko wewe ambaye huna uwezo wala ujanja wa kutengeneza hii kitu.kwahiyo bwana makange usikate tamaa na fahamu kwamba mambo mazuri huwa hayataki haraka na mwanzo huwa ni mgumu.All the best man.........


    regards,
    Serikali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...