
sanamu ya muasisi wa serikali ya mapinduzi zanzibar na jamhuri ya muungano ya tanzania sheikh abeid amani karume iliyo nyuma ya hoteli ya bwawani huko zenj inahitaji uangalizi zaidi ya huu kwani licha ya majani na magugu kumea sehemu hiyo pia sanamu yenyewe ina matone kibao ya kinyesi cha ndege na athari zingine.

Mjukuu wako kafanya maroroso huku!!! cjui ndo kwasababu baba ake Rais?????!!!!!!
ReplyDeleteDa!Baba karume nafikili watu wanamkumbuka sana Nyerere na kusahau Karume nae pia alikuwa gangwe vilevile walikuwa washikaji na ndio maana wakawa kitu moja ongera kaka michuzi kwa kutukumbusha baba yetu huyu pia mimi ni kutoka bara lakini namkumbuka sana huyu mzeee na nafurahi alichokifanya kwa Zenj. alikuwa na mtazamo wa mbali alijua Zenj na bara kuwa kitu kimoja ndio poa jamani let us give him some credits. He is the man
ReplyDeleteMichu usiniminyie hii,
ReplyDeleteKwikwi! Ama kweli leo umetumia fani yako ipaswavyo.
Juu umetoa kadi nyekundu kwa mjukuu halafu chini ukabalansi kwa kuipa familia penalty dakika za majeruhi. Hapo hakuna lawama!
Mdau,
Mzee wa vipukutisho
Ikitokea huyu Babu akafufuka leo, akasikia na kuona vitendo vya aibu anavyofanya Mjukuu wake leo hii (huyo Fala Fatuma) si atasikitika sana jamani!?!
ReplyDeleteMbona comment yangu MIchu hukuiweka?
ReplyDeleteKwa nini huruhusu open mindedness.
I had critized the idea of calling him 'sheikh' and I said why, Michuzi kwa nini ndugu yangu hutaki kuruhusu uhuru wa maoni?