sanamu ya muasisi wa serikali ya mapinduzi zanzibar na jamhuri ya muungano ya tanzania sheikh abeid amani karume iliyo nyuma ya hoteli ya bwawani huko zenj inahitaji uangalizi zaidi ya huu kwani licha ya majani na magugu kumea sehemu hiyo pia sanamu yenyewe ina matone kibao ya kinyesi cha ndege na athari zingine.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mjukuu wako kafanya maroroso huku!!! cjui ndo kwasababu baba ake Rais?????!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Da!Baba karume nafikili watu wanamkumbuka sana Nyerere na kusahau Karume nae pia alikuwa gangwe vilevile walikuwa washikaji na ndio maana wakawa kitu moja ongera kaka michuzi kwa kutukumbusha baba yetu huyu pia mimi ni kutoka bara lakini namkumbuka sana huyu mzeee na nafurahi alichokifanya kwa Zenj. alikuwa na mtazamo wa mbali alijua Zenj na bara kuwa kitu kimoja ndio poa jamani let us give him some credits. He is the man

    ReplyDelete
  3. Michu usiniminyie hii,
    Kwikwi! Ama kweli leo umetumia fani yako ipaswavyo.
    Juu umetoa kadi nyekundu kwa mjukuu halafu chini ukabalansi kwa kuipa familia penalty dakika za majeruhi. Hapo hakuna lawama!

    Mdau,
    Mzee wa vipukutisho

    ReplyDelete
  4. Ikitokea huyu Babu akafufuka leo, akasikia na kuona vitendo vya aibu anavyofanya Mjukuu wake leo hii (huyo Fala Fatuma) si atasikitika sana jamani!?!

    ReplyDelete
  5. Mbona comment yangu MIchu hukuiweka?

    Kwa nini huruhusu open mindedness.

    I had critized the idea of calling him 'sheikh' and I said why, Michuzi kwa nini ndugu yangu hutaki kuruhusu uhuru wa maoni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...