kaburi la mtemi songea huko songe. kama kawaida yetu wabongo kutoenzi watu ama vitu kama hivi, kaburi hili la shujaa wetu hili liko liko tu kidizaini. wadau mnasemaje?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. NDIO KAWAIDA YETU KUTOJALI MAMBO HASA YA MAZINGIRA ILI MRADI TUU MAISHA YANAENDA TUNAAMKA NA KULALA TENA!!

    ReplyDelete
  2. HUYO HAKUWA MWANA CCM HIVYO HANA NAFASI YA KUPATA HESHIMA, LABDA KAMA MWANAE ANGEKUWA MWANA CCM ANGEENZIWA.

    ReplyDelete
  3. ujenzi wa kumbukumbu hiyo ulifanywa eneo la Mahenge mjini songea na Bw. Mtazama Gama wakati huo akiwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma ambaye alikuwa na uchungu na historia ya mababu zake...lakini ma RC wengine waliofuatia we acha tu...wameua hata kiwanda pekee mjini hapo cha kukaushia tumbuka, kilichokuwa kinatoa ajira kwa watu zaidi ya 3,000 kila msimu wa tumbaku.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...