kili staaz wameandika bao la pili kupitia kwa mshabuliaji dan mruanda dakika ya 88 baada ya kuwatoka mabeki wa harambee staaz na kufunga bao tamu sana kuifanya staaz iongoze kwa 2-1.
wakati huo huo mchezaji amiri maftaha anapewa kadi nyekundu kwa mchezo mbaya dhidi ya samwel ochieng dakika hizi za lala salama....
.NA MPIRAAAA UMEKWISHAAAA... MATOKEO NI KILIMANJARO STAAZ 2 NA HARAMBEE STAAZ 1

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. babu kubwa Mungu ibaliki stars

    ReplyDelete
  2. safi sana michuzi!
    hizi habari ni live ndio maana tunaifagilia blog yetu,sasa kilichobaki tunaomba na picha kama unazo maana ni muhimu kweli hasa ukizingatia timu imejaa yoso wenye avarage of 23 yrs huku soka likizidi kukua siku hadi siku.
    Mungu ibariki soka ya Tanzania
    Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  3. Si mchezo walau matokeo haya yanatufanya tusahau kipigo tulicho kipata kutoka kwa wamakonde wa Msumbiji! Keep the ball rolling Kili boyz!!! you have done us proud!!!!

    ReplyDelete
  4. Hongera sana Kilimanjaro stars,

    kwa matokeo ya leo tayari Tanzania imepanda tena kiwango ktk Fifa world ranking,tunatarajia matokeo mengine mazuri zaidi,

    kila lakheri Kilimanjaro stars,

    kila la kheri Tanzanian football

    ReplyDelete
  5. Haya ndio mambo tunayotaka...sio kusindikiza tu kila mwaka. I hope ni talent tupu ndiyo ilitumika si uchawi wa Simba na Ynga. Mungu ibariki Staaaz!

    ReplyDelete
  6. Ok... Nimefurahishwa na jinzi unavo-tu-update.... keeep it up Man.
    Hongerazenu Kili staaz... kazi nzuri...GodBlessUsAll

    ReplyDelete
  7. Samahani kuleta hoja hii hapa...
    Hivi ni ukweli mnyoofu kwamba Tz vijana wasomi na wenye uwezo wa kuingiza nguvu mpya ari mpya na kasi mupya katika serikali yetu hawapo??? manake hizi teuzi!!! Mh..

    ReplyDelete
  8. Kila la kheri mwanzo mzuri...

    Tupo pamoja.

    ReplyDelete
  9. Hongra Taifa (Kilimanjaro Stars)...lakini bado chemtemakuni cha Mganda na Mruanda

    ReplyDelete
  10. Zaidi soma

    http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/7134649.stm

    ReplyDelete
  11. Vijogoo wa Anfield pwaaa mwanawane,yaani pwaa watoto wa Steve Coppel wamewatupia 3-1 tangaza hiyo.But Killi boys huree,it's Mrwandaaaa yeeees! Ebwana imekaa vizuri. Lakini mi naomba kuuliza hivi kwanini Maximo anafundisha Killi stars alihali ye ni kocha wa Taifa stars,inakuwaje? Mashujaa wa Zenji wao hawamtumii au kuna rotesheni?

    ReplyDelete
  12. watani wa jadi hoi....miaka ya nyuma ilikuwa kila tukiingia tunachukua bao, hopefully haya yatakuwa maandalizi mazuri kwa world cup qualification matches, kaza buti vijana. Mungu ibariki Taifa Stars

    ReplyDelete
  13. Hongera kwa kurusha "live" mechi ya Kili Stars. Nakupongeza timu na wadau kwa ushindi wa timu hii.
    Bw Michuzi, pole kwa kipigo cha Liverpool kwa Reading! Huu ni mwanzo wa Benitez kumfuata Mourinho?
    Mdau
    http://drfaustine.blogspot.com/

    ReplyDelete
  14. Michuzi hii najua iko out of subject lakini naomba tu uwashtue wadau wa ukerewe wamwangalie kijana wetu Francis Cheka ITV4 please

    ReplyDelete
  15. MICHUZI!!! MBONA UMETULIA LEO KAMA NYANYA INAYOSUBIRI KUWEKWA KWENYE KACHUMBARI,VIPI LIVERPOOL LEO NDANI YA READING. TOA PIC ZAKO ZA TORES NA KOCHA WAKO CHIZI MDAU WA CHELSEA.

    ReplyDelete
  16. VIPI MICHU UMEHAMA CHAMA? NAONA BWAWA LA MAINI WAMETANDIKWA VIBAYA SANA NA READING UNAJIFANYA KAMA HAMNA KITU KIMETOKEA.WAKINUNUA MECHI KAMA ILE YA CHAMPIONS LEAGUE WALIOSHINDA 8-0 UNACHONGA SAAAAANAAAA
    LIVERPOOL MDEBWEDO

    ReplyDelete
  17. Kwa mnaokumbuka, tuliwahi kuifunga Kenya kwenye fungua dimba Mwanza bao 1-0 halafu tukaishia kufungwa mabao 3-2 kwenye fainali na kombe kwenda Kenya. Kocha wa Kenya alikuwa Jogoo Jacob M. na wa kwetu alikuwa Mkenya mwingine James Siang'a, si zamani sana hii. Kuna tatizo limejionesha kwamba washangiliaji walinuna - hii nini maana yake? Nahisi watu wanakereka na kocha Mbrazili baada ya kumwacha kipa Juma Kaseja. Natabiri tutafungwa na Uganda ama Rwanda na lawama kibao kumwendea kocha, kombe litaondoka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...