Home
Unlabelled
eapoti ya peking
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kila kitu unachoweza kuwaza kichwani mwako tunaweza kuwa nacho ila tatizo ambalo linatufanya kutoweza kuvipata ni wizi wa kura rushwa, kuiba mali za umma, kuwa na viongozi wasio jua wanacho kifanya wakiwemo ccm nzima, nk
ReplyDeleteViongozi wote wa Tanzania hakuna ambaye ana uchungu na Taifa letu na kama kungetokea ata mmoja basi utasikia wamesha mmaliza na kumuua long time so hapo tutakuja kuwa na maendeleo kama unayo yawaza? Ni kweli zitabakia ni ndoto tu.
hadi barabara ziwe kwenye hali ya kukubalika ndipo tufikirie kujenga airport of such. ni kama maskini kijijini, hajui hata atakula nini mchana huku anawaza kununua hekalu!!! it doesnt make sense.
ReplyDeleteNdio
ReplyDeleteNdio
Ndiyo
Pia unabidi ujiulize "wanja"la hivo la nini!?kwa biashara gani,na ndege zipi zitatua hapo?hiki(hivi) tulichonacho tu akifanyikazi katika full-capacity sasa hilo lote la nini kama sio kuaribu resources tu!mpaka hapo tutakapo kuwa na umuhimu wa midege ya nguvu kuja kwetu ama sie wenyewe tutakapo kuwa na uwezo wa kutumia usafiri wa ndege nchini mwetu!Kitu ambacho hakiji akilini mwangu-kwa huu Mkukuta wa wadosi wetu mnawaita wafa-dhili au uhai-dhili watuondolee umasikini wakati kwao tu wameshindwa!hayaa!!Senyandumi.
ReplyDeleteMswahili kwanza ajifunze kutambaa na kujikokota kabla kuanza mbio!!!
ReplyDeleteLakini hatuwezi kuwazuia au kuwakataa kuota ndoto!!!
Serikali yetu ikichimba madini na kuyauza yenyewe na mapato yote ya kwenye madini, utalii, uvuvi, na mazao walau asilimia 90 yanabakia Tanzania kweny hazina kuu, basi huo uwanja tunaweza kuujenga baada ya kama miaka 7 tu.
ReplyDeleteTatizo, kila mapato yetu kutokana na rasilimali tulizo nazo na kuweza kuuza nje ya nchi, asilimia kubwa inaenda kwa wawekezaji, ambao wengi wao ni wanatoka nje ya nchi...
SteveD.
Sasa madini yenyewe hayatunufaishi kitajengwaje hizo pese zitatoka wapi.
ReplyDeleteWatu wachoyo sana utaona kitu fulani ninicho peke yangu utadhani ni sifa.
We angalia mfano huu usafiri wa ndege wameufanya big deal yaani kutoka Dar adi kilimanjaro 160,000 $ 130 umbali wa dakika 45 tuu wakati London to Glosgow £20 sawa na $ 20 wakati kila mtu anajua pilots na crews wanalipwa zaidi ya wale wa bongo ndege ye nyewe ya bongo mkangafu sasa hao hao ATC hawataki watu wapande kwa kuweka bei ghali huku kwa rahisi watu hadi wana simama train na bus
kwanza tuondoe roho mbaya ndio tutaendelea