usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa utamaduni wa watu wa Ufaransa dada yetu, mtunzi na mghani mashairi irene sanga alifanya onesho lake la kwanza kabisa la jukwaani na alizikonga vilivyo roho za washabiki wake kwa mashairi yake ya 'pamgisheni' pamoja na uchezaji wake mahiri wa ngoma za asili zinazoambatana na ushairi wake. hapa alikuwa na mshirika wake mkubwa katika masuala ya muziki na mtayarishaji wake wa sauti elidadi msangi.
irene tayari ameshatoa dvd na cd ambazo atazizindua katika tarehe itakayotangazwa muda si mrefu.
nenda http://www.mwenyemacho.com/ kwa picha na habari zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ahh...bibi huyo mniga au mbongo??? mbona mnawaiga sana mijitu hii ya kitumwa???

    ReplyDelete
  2. wewe anon acha ushamba mkinga wa watu kavaa kiafrica kabisa wewe unasema mniga wewe inaonekana bado mshamba unasema anaiga mijitu hii ya kitumwa mijitu gani nafikili kama hauna cha kuongea go and get a grip

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...