Home
Unlabelled
jangwani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sidhani kama wenyewe hapo mbele ya mstari wanajikumbuka, ila mimi nimejiona.
ReplyDeleteKaka michu umenikumbusha mbali sanaaa kweli wakati ukuta tumetoka mbali sanaa. Siku hii tulinyeshewa mvua ile mbaya hapo mnazi mmoja.
ReplyDeletehapo aliyeshika bango la De klerk... ni Zamaradi Kawawa
karibu winnie ni Anna Mbaga
Amandla ni Jamila Mwanjisi
wengine Vailet John.. Farida , jamila..
Make sure hao wanahabari wenzio Zamaradi na Jamila wameipata picha hii..
thanks alot
Kwani ilikuwa mwaka gani huo?
ReplyDeletehey guys kwa wote mliosoma jangwani
ReplyDeletethere is a link reunite friends around the world go to;
www.graduates.com
you'll find your old friends
cheers
if interested you can send mail to my adress rchonde2002@yahoo.com
i will connect to the link.
jamani amenikumbusha mbali sana, mimi sijaiona ila namuona dada yangu Vera mkenda!! jamani tuliloana!! sitasahau, ila ilikuwa raha sana.
ReplyDeletejamani amenikumbusha mbali sana, mimi sijaiona ila namuona dada yangu Vera mkenda!! jamani tuliloana!! sitasahau, ila ilikuwa raha sana.
ReplyDeleteHa haa haa!!Zamaradi size zero.. jamila Mwanjisi size 10
ReplyDeleteHuo mtoko maalum watu wa hostel enzi ya Tegisa si mchezo!!
Nakumbuka...tena hizo picha alizichora mwalimu isdori.. mchoraji mzuri kweli..ilikuwa mwaka 1989 au 1990?
ReplyDeletePicha safi sana,naangalia mavazi wanayovaa wasasa na wa kwenye picha hii tofauti.
ReplyDeleteHawa Sketi zimefunika magoti,ila dada zangu wa sasa pale sketi ziko juu ya magoti.Mkao kwenye dala dala(vipanya) huwa shida kwao.
Ukiwauliza sababu za kuvaa sketi fupi,wanasema sababu ya Weather(joto)
Kipindi hiki dar hali ya ubaridi?
Evil thinking!
ReplyDeleteHivi huo mshono wa sketi una maana gani? Hilo pindo hapo mbele kwanini halikwenda juu moja kwa moja?
mbona walikuwa na andamana uhindini!!!au walikuwa na aibu kuandamana kule gongo la mboto!!!
ReplyDeleteKaka Michu tupashe ilikuwa mwaka gani? Si vibaya tusiojua tukaelezwa who is/was Madiba.
ReplyDeleteWapendwa, kuna mtu yeyeto mwenye habari za Anna Mbagga? Ni miaka mingi toka tuachane Oysterbay Primary School na sijamsikia.
ReplyDeletewengi wao wameshakufa kwa ngoma.Wale wa AZA-JANGWA mapenzi mpo?
ReplyDeletekwa kweli hata mimi nakumbuka kunyeshewa, halafu mandela mwenyewe tusimuone wengine maana alichelewa sana kuja, tunaokaa mbali na mjini ilipofika jioni ikabidi tuondoke hata bila ya kumuona. looooong time jamani
ReplyDeleteYaani wewe anon dec 5 at 8.25 am
ReplyDeleteare you kidding me?
yaani unataka kuniambia humjui Madiba a.k.a Nelson Mandela !!%
unatia aibu ( mwafrika wa dunia gani wewe)
Hii ilikuwa mwaka 1990 kama sikosei.
ReplyDeleteMi nakumbuka alivyokuja Sisulu, tulikwenda mpaka Nkrumah Hall kumuona.
Enzi hizo...
Mdau unaemuuliza anna mbaga yuko morogoro kaolewa na librarian wa mzumbe..yupo choka mbayaa tuu
ReplyDelete