Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kipanya swali lako la wale viongozi waliotafuna na wanafahamika hapo unamlenga mpaka yeye hahaha kwahio jibu atakupa yaliopita yamepita tuangalie mbele .

    ReplyDelete
  2. Hap anawapa nafasi wajirekebishe.

    Nafasi=Hawawezi kuacha mara moja, hivyo wapunguze kigogo kidogo mpaka wataacha kabisa. Lini mimi na wewe hatujui, though na yeye yumo.

    ReplyDelete
  3. Utawaanika au Utawafunga? Mzee (raisi) kaza buti la-sivyo nchi itakushinda! Mpenda nchi!

    ReplyDelete
  4. Kipanya umesahau ile ya chukua chako mapema na sasa hivi anakwambia nguvu mpya na kasi mpya!!!!Yetu mimacho.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...