Home
Unlabelled
mananasi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi mjomba uwe unasoma ulicho andika sababu makosa kidogo yanaharibu habari yote,Asante kwa kazi nzuri.(yaani edit)
ReplyDeleteMichuzi bana umezidi sana kuhusu stori za JK utadhani hii ni blogu ya Serikali????????????? Jaribu ku mix na wapinzani wengine mbona wapo wengi tuuuuuuuuuu, na sio utuwekee zitooo bali wanasiasa mbali mbali.
ReplyDeleteTutakuogopa sasa,ni mmoja wao nini?????
safi sana mh.mfano wa kuigwa huo,siyo kama wale waheshimiwa wanaojibidiisha kuwekeza nje ya nchi
ReplyDeleteHongera kwa bwana mkubwa wetu kwa kutukumbusha kuwa hata kama sicho kitakachotukomboa kutoka katika umasikini, kilimo kinapiga tafu walau hata kwa msosi. hakuna jambo la maana kwa binadamu yeyote kuliko msosi. Msalimiage be!
ReplyDeleteBro we mwanahabari gani usiyejua kuandika? Yaani sentensi ndefuuu, haina kituo hata kimoja. Unatuumiza wasomaji maana hatupumui.
ReplyDeletePongezi kwa Mh.Rais kuonyesha nia na mfano wa kilimo cha kisasa cha mananasi.
ReplyDeleteMimi kama mdau wa kilimo cha mananasi ningeomba Mh. Rais atupatie jibu la soko la mananasi ndani ya TZ na soko la nje maana mazao yetu yanaozea shambani na ktk masoko yetu ya pembezonni mwa barabara.
Je? Mh.Rais twaweza kuunganisha mzigo(mavuno) yetu ya mananasi ili tuingie ktk soko unakouzia kama ni ndani na nje ya nchi. Maana wewe Mh.Rais ndiyo jibu la kutupatia masoko ya mazao yetu.
Na mwisho tungepewa habari kuhusu ukubwa wa shamba la Mh.Rais ili tuweze kulima shamba kubwa zaidi yake kama changamoto ya kuinuia kipato.
Nawasilisha
Mdau
Kiparanganda
Mkoani Pwani.
Jamani, ivi ukiwa kiongozi lazima unenepe, kikwete amejiachia na apa ni miaka miwili tu, akifikia kumi si takuwa kama kioski kinatembea, punguza cholestrol mzee, unatisha.
ReplyDeleteSasa bepari,mnyonyaji,kupe nani...mbona JK analo shamba la mazao ya kibiashara? kazipata wapi hizo senti...au ni hadithi ya zamani...wakati uko ikulu maliza tuu hazina ya taifa!!!
ReplyDeletekweli mheshimiwa ameacha mazoezi....!!!! labda muda hakuna.....sasa tusemeje?
ReplyDelete