Home
Unlabelled
akili mali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi,
ReplyDeleteHivyo vizuizi huwa vinaweza kutolewa. ninamaanisha vinaweza kufunguliwa na kufungwa tena kama kuna ulazima wa kufanya hivyo. Kwa mfano kunapotokea moto kwenye jengo au emergency yoyote vinaweza kutolewa ili kuwapa nafasi watu wa fire au ambulance.
umechemsha wewe baba! vizuwizi huwa vinatoka hivyo
ReplyDeletehilo gari lao watalinyanyua kwa winch!
ReplyDeleteni removable hizo wewe!!
ReplyDeletemie nadhani tatizo sio la hao jamaa tatizo lipo kwa wataalamu wa mipango miji ,plan zao hazikuwa sahii ,hebu fikiri unaamka unakuta watu wamepark magari yao hadi langoni kwako??????? miji yetu haina parking slots, barabara ni finyu sana , mitaro
ReplyDeletesasa ndipo mt anaamua kubuni tu namana ya kuzuia magari
wataalamu wetu msituangushe jamani
"miji yetu haina parking slots, barabara ni finyu sana , mitaro
ReplyDeletesasa ndipo mt anaamua kubuni tu namana ya kuzuia magari
wataalamu wetu msituangushe jamani" Hapo si Tanzania baba!
VIZUIZI VYA AINA HIYO VINA WEKWA KWA AJILI YA PREVENT ILLEGAL PARKING MFANO ENEO BUSY KAMA SOKONI ENDAPO WATAACHA WAZI,WATU WOTE WENYE KUJA SHOPPING WATATAKA KUEGESHA MAGARI KARIBU NA SOKO MATOKEO NAFASI ITAKUA HAMNA HATA YA KUHEMA,KWAHIYO VINAWEKWA HIVYO KWA AJILI YA WAUZA BIDHAA SOKONI ILI WA PARK MAGARI YAO NA IKIFIKA TIME YA KUFUNGA VINAFUNGULIWA TENA ILI WATOKE HALAFU WANAFUNGA TENA.UKIVIONA KWA KARIBU VINA KAMA KUFULI HIVI YA KUFUNGA NA KUFUNGUA UKISHAFUNGUA UNAKIZUNGUSHA NA KUKIINUA.
ReplyDeleteKusema kweli hawa jamaa, wamechemsha,sisi tunakaa ulaya tunavijua hivyo vizuizi.
ReplyDeleteVya langi ya bluu, havifunguki, vinavyo funguka ni vyenye rangi mbili, nyekundu na nyeupe.
Na kama kulibeba na wich, si kweli.
jamani si tu kuwa kuna vizuizi vya kutolewa, vipo vinavyonyanyuka na kushuka ndani ya kishimo kama haidrolic style vile. Hapa nilipo viko kibao.Hajachemsha mtu hapo, ingawa wao pia kuchemsha ni kawaida tu maana nao ni binadamu kama mimi na wewe!
ReplyDeleteKwa taarifa hapa pia kuna kuna vyoo vya kushuka (wakati wa mchana) na kunyanyuka (jioni)hususani wakati wa sherehe imbali za kitaifa (ingawa si kila miji) sembuse vizuizi?
Nyakatakule Unyilisya Echalo
hawa jamaa sio kama wamechemsha na hivi viguzo sio kama vyote vinafunguka hapa katika hii picha tunayoiona kuna kama kiguzo kimoja au viwili ambavyo vinaweza kufunguka wakati wa emergency,wazungu ni binaadamu na wanafanya makosa lakini makosa yao tofauti na wabongo maana huku nilipo sijasikia mgonjwa wa kichwa kukatwa mguu.
ReplyDeletemweeee mambo ya tambarare hayo
ReplyDeletepampula2007@gmail.com
Nadhani wadau hamjamwelewa Michuzi, Hivi kati yenu wote Wadau hamjagundua maana halisi ya swali? Kwamba hao wajenga vizuizi hilo gari lao humo ndani watalitoaje? Ni kweli mchemsho.
ReplyDeletewewe anon hapo juu wa 10:10pm wewe ndio hujaelewa,vizuizi vinatolewa kwa kuzungushwa wakisha maliza ujenzi wao,halafu wanarudi kuvifunga hawahitaji kubomoa ili watoke.
ReplyDeletena anon wa 6:24pm hata mimi naishi ulaya hivyo vya blu sivijui navijua kama hivyo kwenye picha gold and black ina maana haviwezi kuitwa vizuizi kwa sababu ya rangi.vipo pia kwenye traffic lights vya kuingia ndani ya ardhi halafu gari likipita vinarudi juu ni kwa ajili ya ku control traffic rangi kama hivyo kwenye picha ina maana sivyo kwa ajili rangi si kama rangi unayo ijua wewe.nafikiri waishio east london east ham wanavifahamu vizuri au popote pale.
lakini wadau mbona mimi kwa macho yangu naona hivi viguzo vimelala au nyinyi mnaonaje???
ReplyDeleteBwa' Michuzi hapo umechanganya habari, ukiangalia vizuri, hawa jamaa hawahusiki kabisa na hivyo viguzo. Wao wameweka viguzo vyao vyekundu na weupe na protective tape. Mara nyingi unakuta hao jamaa ni waosha vioo au kukarabati sehemu ya jengo. Kuhusu gari lao, kutakuwa na kiguzo au viguzo ambavyo vinaweza kuondolewa kwa muda.
ReplyDeleteNawakilisha
lakini hiyo gari imeingiaje hapo. hivyo vyeusi vimejengewa hapo au vinatoka
ReplyDelete