Home
Unlabelled
fulana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, you made le laugh!!! You are a great comedian... Keep it up!!!
ReplyDeleteNimetoa oda hong kong wanitengenezee kama hizo 1000 ili niwabane wadau wa blog, hii itatumika kama jezi ya hii blog yako
ReplyDeleteKwanini ubadilishe? Unaona kuvaa kitanzi nishai? au kuna joto bongo siku hizi?
ReplyDeleteHamna shida Mr. Michuzi.
ReplyDeleteTunashukuru kwa kazi nzuri natunakutakia 2008 mwema bro.
mimi Leonard was dar.
tuambie hiyo nyumba ya nani.Hiyo t shirt tumeiona tangu mpaka sasa imepauka.
ReplyDeleteAsante kwa wimbo wa AKUDO
Ruksaa ruksaa,, shekhee.
ReplyDeletegrmavura@yahoo.com
kaka Michuzi na wewe acha kutuzingua hapa na hiyo "T-Zhirt na Jeans" yako...kila mmoja anapendeeeeza...hakuna inayomchukiza..It doesnt matter kwanza mie hata hiyo picha yako ya hapo juu kulia ndio nimeiona leo vizuri baada ya wewe kuwasilisha hili ombi....ninachojaribu kusema ni kwamba yeyote sawa tuu..chaguo lako. Ila kunradhi mie tuu naomba kuwa mdau wa milioni tatu ....
ReplyDeleteUnafwata nini nyumbani kwa Jeetu patel !!!
ReplyDeleteTena badili haraka sana, mimi nilishangaa sana wewe na tai wapi na wapi wakati tumezoea kukuona katika hiyo fulana yako "katrade mark kako"? itakuwa bora sana kama utaiweka hiyo picha ukiwa umevaa hiyo fulana kwa vile ndo inayokutambulisha zaidi kuliko hako katai. nakutakia mbadilisho mwema
ReplyDeleteBro michu hilo jumba la pembeni ndiyo lako nini? huwezi jua mambo ya ufisadi macelebrity wamo vilevile..
ReplyDeletefulana hiyo siyo common kwetu vaa ile yenye stips za red ile ndiyo identity yako.
kaka hiyo fulana kila siku hiyohiyo??, mimi naona bora utafute nyingine, lakini mbona hiyo picha iko bomba tu. ushauri tu.!!!
ReplyDeleteHicho crib hapo chembe chako nini? Kimetulia kishenzi..
ReplyDeleteKuhusu t-shirt kama ni your lucky charm...go with it otherwise ..NO!!!...I don't like it.
Hanma noma, wewe mdau wetu hilo limepita!
ReplyDeleteHahahah Michuzi wewe ni kiboko ya njia zote mana hapa najua unataka waosha vinywa tu wakushambulie mpk basi mana umemiss madongo ya watu na bahati yako sasa hv wamelala hawajakushushia mipasho.Jamani hii fulana si ndio ambayo wamekukataza usivae??Leo hii unawauliza uweke picha yake hapo juu hahaha mimi simo!!subir mvua ya mashambulizi mwanawane.
ReplyDeletemambo ya tiger woods hayo wewe tu kaka michuzi
ReplyDeletehiyo fulana poa tu, ila nina swali hiyo nyumba iliyo mbele yako ni ya fisadi gani? maana mafisadi wengi wana manyumba mazuri ila watu waaminifu ni wachache sana wenye nyumba nzuri, kwahiyo wadau msifikiri kwamba nina ile mentality kwamba kila kizuri ni cha mafisadi.
ReplyDeleteMi kabla sijakuruhusu naomba niulize kwanza. hiyo flana ina nini mpaka unataka kupigia picha? au unataka kutoka kicheckbob badala ya kishua?
ReplyDeleteTafuta nguo ya maana Michuzi!! Hako kafulana una haribu!!!!!!!
ReplyDeletemichuzi hii t shirt lazima uitumie kwenye picha ya hapo sababu hii ndio logo yako, nimeshangaa sana kuona ulisahau hapo mwanzo!
ReplyDeleteHapa chini umeweka picha ya punda, ni kweli wanaonewa sana, na wana haki ya kutetewa kama binadam pia, natumaini wanaharakati wa wanyama watajitokeza juu ya hili, lakini mie nina swali moja dogo na la aibu sana, vipi kuhusu watu wanaofanya mapenzi na wanyama kama vile ngómbe, mbuzi, kuku n.k je hakuna wanaharakati wa kuweza kuingilia kati jambo hili la aibu na hatari?? Blog ni yetu sote michuz lazima tuseme kero zetu, hakuna pa kusemea zaidi ya hapa.
MIMI BINAFSI SIKUPI IDHINI SI KWA SABABU YA KUTOTAKA BADILIKO HILO LA HASHA BALI KWA SABABU SINA MAMLAKA YA KUTOA IDHINI KWA MWENYE BLOGU KUAMUA ANATAKA KUBANDIKA KIASILI (element) KIPI WAKATI GANI.
ReplyDeleteAidha katika hili hekima yangu MIMI nYAKATAKULE uNYILISYA eCHALO inanisukuma pia nikubaliane na mchambuzi Chibhula Bhanu wa Ebukwaya (1989) aliposema kuwa
"Si kila akuombaye radhi amekukosea"!
WE MICHUZI TWAMBIE UKWELI TU,UMEENDA KWA BABU NA BABU KAKUFAHAMISHA BILA YA HIYO FULANA MAMBO YAKO HAYATOKWENDEA.SISI TUSEME NINI WAKATI UNAJUA FIKA UTAITUNDIKA TU FULANA YAKO.
ReplyDeleteenzi za mwalimu kujenga nyumba kama hii lazima ujieleze ,kweli azimio la zanzibar limefanya kazi pevu
ReplyDeleteKwa wanaotaka kujua hilo jengo ni Club maarufu pale Arusha inaitwa "Triple A" Inamilikiwa na dealer wa Tanzanite maarufu kwa jina la Papaa Kinyi.
ReplyDeleteAcha hiyo hiyo tai.Unadhani ukivaa katisheti hako ndio tutaacha kusema kwamba we SIO MLA RUSHWA(RUSHWA MAN).TUMESHTUKIA HIYO BRO.HIZO HUWA NI JANJA ZA WAFANYAKAZI WA WAHINDI MADUKANI.Ila pongezi kwa kazi nzuri sana.
ReplyDeletedu ni kweli hiyo t- shirt kila wakati huwa tunakuona nayo:
ReplyDeleterutakv@aol.com
Jumna Jumba kweli lakini barabara mwwwweeee...kwanini asiweke hata gravel hapo watu waingie nyumbani kwake vizuri? Hana jirani??? Wakachangishana mihela mtaa ueleweke. Sijui lamborghini yake anaipitishaje hapo!!!!!
ReplyDeleteMie naona fresh tu Michuzi ukiweka picha uliopiga na hiyo t-shirt hapo,ila nadhani itakuwa bomba zaidi ikiwa sio passport size, ili na hiyo jeans ionekane au we unasemaje?
ReplyDeletewapi tena huko atiii
ReplyDeletepampula2007@hotmail.com
Hey bro! vipi mbona hujabadilisha pic sasa?? honestly hiyo zamani mie siipendi imechoka sana plz weka ya t-shirt ok..kazi njema
ReplyDeleteI like that t-shirt, badilisha iliyokuwepo weka utakayopiga na hiyo fulana. Baada ya hapo tundika hiyo fulana kwenye e-Bay tuigombanie.
ReplyDeleteyap.. lakini sio lazima sana uivae, lakini pia ukiivaa itakuwa kumbukumbu safi kwa sisi tunaojua historia ya hiyo tshirt. ila nafikiri utafutie mahali uitundike iwe hapo katika uhai wote wa blog yako.ili siku ukitaka kubadili picha hiyo tshirt utuachie sisi wadau. maana kila mtu anaitaka.je utaipiga mnada lini?
ReplyDeleteLMG
Umenichekesha sana michuzi...we gandamiza tu hamna noma...Ushauri kidogo kwa Nyakatulile...Wewe ni mchambuzi mzuri sana wa maada,ila unahitaji kuwa na leisure time,muda ambao hauko serious kiasi kicho,hivi wifi yetu huwa mna muda wa kutaniana kweli?Kumradhi lakini,ni wazo binafsi.
ReplyDeleteubadilishe bwana na wewe uonekane mpya hiyo tshirt ina gundu la wanigeria mwaka mpya na mambo mapya kila kitu kitakuwa tambarare
ReplyDeleteISSA NIMEKUELEWA HIYO NYUMBA NI MOJA KATI YA ZILE ZA MHESHIMIWA WA " BOT "
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteHiyo tisheti imeshakuwa ni tredimaki yako kwa hiyo ruksa.
Lazima itakuwa na historia hiyo tisheti, tupe info.
Ushauri wa bure; Inabidi uwe unaangalia wapi unapiga picha kabla haujajumuishwa katika listi ya mafisadi.