jk akizungumza na Idda Kasauji mabaye ni mwananfunzi wa shule ya msingi Kamachumu muda mfupi baada ya Rais kufungua shule ya Sekondari ya Rutabo iliyopo Kamachumu,mkoani Kagera hivi karibuni.Katika mazungumzo yao mafupi Mwanafunzi huyo alimuomba Rais aipatie shule yao vifaa vya michezo ombi ambalo Rais Kikwete aliliafiki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hiyo bendera fake itolewe inachafua picha.

    ReplyDelete
  2. Yaani muheshimiwa shati hilo nimefanana na watu wa huko kabisa

    ReplyDelete
  3. jk anawekeza nini uko bukoba, naona kanogewa.

    ReplyDelete
  4. Inaonekana hii ni Magufuri ya baadaye. Mungu ipe nguvu na ilinde

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...