Waziri Mkuu Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mbunge wa Kikwajuni, Parmukh Singh Hoogan na mbunge wa Mafia, Abdulkarim Hassan Shah (katikati), nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Oohoo mie simo, wala sitii neno subiri mwenyewe komenti zake ujue kama watu zimo au hazimo. Hivi kweli unajua kuwachokoza waosha vinywa, shauri yako bana kuba.

    ReplyDelete
  2. What a cosmopolital country we are ! Arabs,Indians ,(Kikuyu jaluos, (as long as wamekwenda hospipali of course ) nk))
    Proud to be a Tanzanian

    ReplyDelete
  3. Mbona sivyo ndivyo hapa?!! Inakuwaje tena?

    ReplyDelete
  4. Mi nilifikiri ni balozi wa wa india kaja kujitambulisha kwa waziri mkuu

    ReplyDelete
  5. mmm!!Kaka Michuzi sisi!Hatutaki! uchokozi!!??Lakini wewe kwanii?unaanza uchokozi wa kuwatafuta watu cha rohoni???
    Unataka watu tuanze kusukutua midomo!halafu hiwe soo.

    ReplyDelete
  6. Wapi kama Tanzania?
    Yaani hapo ndipo penyewe.
    Mnataka na sie tuwe kama Wakikuyu na Wajaluo wa Kenya?
    Hapana. No!
    Tuacheni hivi hivi!

    ReplyDelete
  7. Marehemu amina chifupa alifukuzwa bungeni kwa kuvaa kofia, sasa huyu singa singa inakuwaje?

    mtoa maoni January 30, 2008 6:50pm eat. nakunukuu "mnataka na sie tuwe kama wakikuyu na wajaluo wa kenya" wakenya wao wanagombania UKABILA mtoa mada hapo juu alikua anazungumzia UTAIFA, lazima kuwe na mtanzania, muhindi, na mwarabu vile vile, kwani sisi tunaweza kwenda India au dubai ukapata japo ukatibu kata? nchi gani inaendeshwa kiholela ili mradi tu uwe na pesa, what a shame

    Ni hayo tu

    ReplyDelete
  8. Kuna mdaku alikuwa karibu alinyaka eti Waziri Mkuu alimaka kwa huyu jamaa ---ahhh kumbe wewe ni Mtanzania? Jamaa akajibu yakhe tena muunguja, mshirazi mie.... (dRU)

    ReplyDelete
  9. Michu siku zote nakutetea kumbe kweli wewe mchokozi. Sasa blogu yako kutuletea habari za bunge la Kashmir wapi na wapi?

    ReplyDelete
  10. Wale waliokua wakimteta Richa wako wapi?

    ReplyDelete
  11. yaani mnaonyesha jinsi mlivyo mibaguzi tena primitive aiseeh,kwani hakuna mtanzania ambaye ni muhindi au mwarabu..lakini siwalaumu maana vumbi mnalokula ni tosha kuwachanganya akili

    ReplyDelete
  12. Hamna lolote kama kuna cha kusema kufunguana macho tutasema tu atakaye sema sisi wabaguzi shaurize!
    Naomba kujua nchi hii inaelekea wapi kwa mpango wa wabunge wadosi??Sasa wakoloni wakijerumani na kiingereza tuliwafukuzia nini kama tunapenda utumwa bado eeh?!Mimi naomba wabongo walioko India wanitambulishe mzalendo mTanzania mwenye wadhifa mfano; mjumbe wa nyumba kumi huko India.Nna imani hakuna.Ila sisi kwetu bora tupewe vijizawadi hapa na pale tunagawa nchi yetu kama peremende.Nani kati ya hawa wadosi wanatuhesabu kama watu wa jumuiya yake eeh?
    Yaani ni mambo ya aibu sana,hatujajiweka sawa kama wazalendo waTanzania nchini mwetu tayari tunawapa nafasi wageni washike nyadhifa zitakazo wawezesha kujua vyema wapi watukandamize.
    AIBU na MASIKITIKO!!

    ReplyDelete
  13. Jamani mnalalama nini?, huyo sio mbunge wa kuteuliwa, ni wa kuchaguliwa![walalamikieni waliomchagua]

    ReplyDelete
  14. Mambo ya aibu sana kufikiria kuwa mtanzania lazima uwe mweusi,wewe anon wa 12;17 umeonyesha jinsi ulivyo ignorant na watu kama nyie ni hatari sana katika society kwa chuki na ujinga ambao naamini unasababishwa na kukosa elimu na exposure na jinsi ulivyoandika na sikujui unaonekana hata shule hujasoma na wala hujatembea hii dunia,nani kakuambia kashinda uchaguzi kwa vijizawadi na tumesoma na wadosi na wazungu wengi tuu ambao wamezaliwa TZ na ni watanzania halisi kwa hiyo unataka kutuambia hawana haki kwa ajiri ya rangi zao,huna tofauti na ile mizungu mibaguzi iliyoamini mweusi sio Americans na wakawanyima haki zao miaka mingi sana na mateso makubwa naona ndio wewe,ndugu upuu wako bahati nzuri sio kila mtu anaamini na wengi wanakuona mjinga tuuu uliyekosa elimu na exposure

    ReplyDelete
  15. muheshimiwa Raisi sisi wazalendo tulio kimbiza mwenge wakati wa azimio la Arusha!Tunaomba,viongozi wowote waliomchagua huyo mheshimiwa wa asili ya kihindi wajiuzulu pamoja nambunge huyo!kwani jinsi tunavyojua sisi kipindi cha mwenge wa arusha hao ndio walikuwa wa kwanza kuondoka nchini Tanzania na Mkanda wa miezi kumi na nane,na wakati wa kuweka jiwe kwa ajili ya sukari...etc hatukuwaona!!!!hivyo kama kuna baadhi ya viongozi wameamua kuigawa au kuiuza nchi basi hata sisi raia wa tanzania tupewe pasenti yetu ili tujue tumeamua KUIUZA nchi yetu. i hope kuona majiuzulu ya viongozi hao mapema kwani inatia aibu.

    ReplyDelete
  16. yaani maalimu michuzi wewe inaelekea unalinda maslahi hapa kwani comments zangu kwaajili ya hawa waheshimiwa hutaki kuzitoa au ni mmoja wao????

    ReplyDelete
  17. Anon wa feb 1 2008 12:17:00 yaani unaonyesha kabisa ufinyu wa elimu yako, unasema atajwe mzalendo wa kitanzania kuwa mjumbe wa nyumba kumi! unaijua maana ya uzalendo wewe? kama ni mzalendo wa Kitanzania basi kamwe hawi mjumbe wa nyumba kumi huko India, lakini kama ni raia wa india mwenye asili ya kitanzania anaweza kuwa mjumbe wa nyumba kumi.

    Kukufumbua macho nakukupa elimu kidogo nikwamba huko India wako weusi wenye asili ya Afrika na wanaitwa Sidis wako hata kwenye serikali japokua nikidogo, hii inatokana nakwamba India ina mamilioni ya watu [kama sio bilioni] na hao Sidis au watu wenye asili ya Afrika hawafikii hata milioni moja.

    Ninachokushauri wewe na ubaguzi wako nikwamba nenda ukasome tena unatia aibu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...