bi kidude akipiga mche wake wakati akisubiri maandalizi ya sauti za busara sza mwaka 2009 katika ukurasa wa nyuma wa kitabu cha tamasha hilo la muziki linaloanza kesho katika ngome kongwe huko zenj. mengi zaidi nenda www.busaramusic.org

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Saanaa sijui nini lakini wanadvertise sigara....????

    ReplyDelete
  2. MAALIM ISSA MIMI NIMEKUELEWA..JUKWAANI POA SANA LAZIMA UPATE.."..JANI.."..KABLA HUJAWATUMBUIZA.."..HII NDIO MOJA YA "..SAUTI ZA BUSARA.." KAMA UAMINI NENDA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...