
Hi Michuzi
POLE KWA SHUGHULI
LEO NAJITOKEAZA KWA MARA YA KWANZA, NAKUDUNGA NA Hiii.
JE UNAMJUA HUYU NI NANI?
POLE KWA SHUGHULI
LEO NAJITOKEAZA KWA MARA YA KWANZA, NAKUDUNGA NA Hiii.
JE UNAMJUA HUYU NI NANI?
KWA WALE WASAFIRI AU WAFANYABIASHARA NA USAFIRIRSHAJI WA MIZIGO WA ENZI HIZO SURA HIYO SI NGENI KWANI HUYU NDIYE SAI BABA, YAANI NDIE SAI BABA ORIGINAL MWENYEWE HAO WENGINE NI COPY ZAKE TU
Regards
David Ekonjo aka Dr.
HUYU WADAU NI MWANAZUONI MWENZANGU YEYE ANATOKEA KULA BARA INDIA NAFIKIRI NILIPATA NAFASI YA KUSOMA HEKIMAUPENDO YAKE MIAKA YA MWISHO YA TISINI IMETULIA TUU. HAWA NI WAE WATU AMBAO HAWAFIKIRII UGALI , MAHARAGE , BIRIANI PRADO NA JUMBA LA KIFAHARI WAKALALE. WANAJARIBU KUMUULIZA MUUMBA KILA SIKU UMENIUMBA KWA FAIDA GANI NAJAMII YA ULIMWENGU HUU NITAISAIDIAJE THEN MOLA BILA IYANA ANAMIMINA BARAKA ZAKE. NAFIKIRI HATA COMFUSION NI DIZAIN HIYO HIYO
ReplyDeleteTUMAINI GEOFREY
Wewe Tumaini mbona hatukuelewi, unachanganya mambo sana. jitahidi ujumbe wako ueleweke kwa wadau.
ReplyDeleteWanablog, japo tunaandika ujumbe wetu kwa "Kiswanglish" (mchanganyiko wa Kiswahili na Kiingereza, tutumie maneno yanayoeleweka ili wasomaji waupate ujumbe uliokusudiwa, upo Tumaini?
ReplyDeleteNIPO WADAU NASHUKURU KWA USHAURI NAUFANYIA KAZI KWA UMUHIMU NA HARAKA
ReplyDeleteTumaini kama unaufanyia kazi huo ushauri, basi tuandikie tena huo ujumbe wako kwa lugha nyepesi inayoeleweka. Tatizo unajisahau kuwa wewe ni jiniasi na hiyo lugha yako unailewa peke yako. Ujumbe wako wa mwanzo ni mzuri lakini ni watu wachache ambao watauelewa. Sasa kwa faida ya wengi rudia kwa lugha nyepesi. Hata mimi nimewahi kumsikia huyo Sai Baba lakini sifahamu ni nani na ana faida gani kwa jamii.
ReplyDeleteTUMAINI ULIANZA KWA KUNIUDHI SANA NA COMMENTS ZAKO LAKINI NAHISI you are a sensitive guy UNACHUKUA MAONI YA WADAU UNAYAFANYIA KAZI USIJE NA KASI KUWA HUBIRIA WATU HUMU NDANI YA HII GLOBU WATAANZA KUKUSHAMBULIA TOA MAONI YAKO KWA KUTUMIA BUSARA SIO WOTE WALOKOLE,SIO WOTE WAISILAMU,SIO WOTE WAHINDU TUNAKUJA KWENYE HII GLOBU WATU WA KILA RANGI,SIZE NA DINI therefore try and be sensible with your comments NIMEFURAHI ULIVYO MJIBU MDAU HAPO JUU BAADA YA KUKUPA USHAURI KWAHIYO TUNATEGEMEA MABADILIKO KUTOKA KWAKO.MIMI NI MMOJA KATIKA WATU NISIOKUFAHAMU WAKATI MWENGINE UNAKUSUDIA NINI KATIKA MAONI YAKO,INAONYESHA KISWAHILI SHIDA KIINGEREZA MATATIZO KWANI HASWA WEWE NI KABILA GANI NA USINILIELEWE VIBAYA UKAONA NALETA UKABILA WA KIKENYA HUMU NDANI YA GLOBU.I'm simply fascinated by you.
ReplyDelete(NAPENDA KUWA SHUKUU WADAU KWA USHAURI NAFIKIRI NINA BAHATI SANA ) NENDA WEB HII
ReplyDeletehttp://en.wikipedia.org/wiki/Sai_Baba_of_Shirdi.
AU SOMA HAPA
This article is about Sai Baba of Shirdi, an Indian saint who lived from the mid-19th to the early 20th century. See Sai Baba for other persons calling themselves Sai Baba.
Sai Baba of Shirdi
Date of birth: Unknown
Place of birth: Unknown
Birth name: Unknown
Date of death: October 15, 1918
Place of death: Shirdi, India
Guru/Teacher: Venkusa of Selu
Philosophy: Advaita Vedanta
Quote: Sab ka Malik ek hai
Sāī Bābā of Shirdi (d. 1918), also known as Shirdi Sai Baba, was an Indian guru, yogi and fakir who is regarded by his Hindu and Muslim followers as a saint. Some of his Hindu devotees believe that he was an incarnation of Shiva or Dattatreya, and he was regarded as a satguru and an incarnation of Kabir.
The name 'Sai Baba' is a combination of Persian and Indian origin; Sāī (Sa'ih) is the Persian term for "holy one" or "saint", usually attributed to Islamic ascetics, whereas Bābā is a word meaning "father" used in Indian languages. The appellative thus refers to Sai Baba as being a "holy father" or "saintly father".[1] His parentage, birth details, and life before the age of sixteen are obscure, which has led to a variety of speculations and theories attempting to explain the Baba's origins. In his life and teachings he tried to reconcile Hinduism and Islam: Sai Baba lived in a mosque, was buried in a Hindu temple, practised Hindu and Muslim rituals, and taught using words and figures that drew from both traditions. One of his well known epigrams says of God: "Allah Malik" ("God is Master").
Sai Baba taught a moral code of love, forgiveness, helping others, charity, contentment, inner peace, devotion to God and guru. His philosophy was Advaita Vedanta and his teachings consisted of elements both of this school as well as of bhakti and Islam.
Sai Baba remains a popular saint[2] and is worshipped mainly in Maharashtra, southern Gujarat, Andhra Pradesh and Karnataka. Debate on his Hindu or Muslim origins continue to take place.[3] He is also revered by several notable Hindu, Sufi and Zoroastrian religious leaders.[citation needed] Some of his disciples received fame as spiritual figures and saints.
TUMAINI
MAMA KAYAYEE NAOMBA MOLA ASISOME HUU UJUMBE MAANA MZEE OJUANG AKIPATA TAARIFA SIJUI NITAJIFICHA WAPI MAANA ANAJUA KILA MAHALI PA KUJIFICHA KWENYE CLOSET(kabati la nguo) , KWENYE TANKI LA MAJI OK , MIMI NI MnDAMBA KWA KABILA. MASWALI MENGINE NITAKUJIBU KUPITIA tgeofrey@gmail.com
ReplyDelete