MDAU MARTIN KABEMBA LEO ALIKUWEPO KUSHUHUDIA VIKKI - KEEN MWENDWA, REGIONAL FOOD AND BEVERAGE MANAGER WA SERENA EAST AFRICA (SHOTO) AKIMPONGEZA MFANYAKAZI BORA WA SERENA INN HOTEL YA ZANZIBAR YUSSUF ALI "MR BIG" KATIKA SHEREHE YA WAFANYAKAZI ILIYOFANYIKA UKUMBI WA BURDANI WA MAFUNZO MJINI ZANZIBAR JANA AMBAPO WAFANYAKAZI 10 BORA WALIPEWA ZAWADI MBALI MBALI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mbona kama huyo kaka anataka kuunyofoa mkono wa mama wa watu?

    ReplyDelete
  2. hivi michu na wewe lile shindano lako ndilo zawadi ulizitoa kimya kimyaaa?au ni kwa vile ni watu wako ndio mmepeana vyumbani kwenu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...