Home
Unlabelled
twiga staaz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pamoja na uzuri wa picha, Hilo ni goli!!
ReplyDeleteAhh lakini jamani hao akina mama baadala ya kukaa nyumbani kuwaangalia watoto na kumpikia mumeo...wanazurura na kuhangaika na hilo duara la pumzi!!!!bora kuleta mke wa kijijini!
ReplyDeletemshambaa weee,goli gani hilo?,hata jezi la kukopa kwa Inter Milan!!!
ReplyDeleteJamani, akae nyumbani aangalie watoto wakati anatafuta pesa??huyo wa kijijini asiyetaka maendeleo siku hizi utampata wapi????????
ReplyDeleteNaamini wewe ni wale wanaume wasiopenda maendeleo ya kina mama BIG UP SISTERS ENDELEENI KUFANYA KWELI SISI WATANZANIA TUKO NA NYIE MNA MAANA KULIKO TIMU YA WANAUME YA TAIFA STARS
Greig George
we anon wa 10.44pm akili zako bado ni finyu umesikia wanahangikia waume zao??? unaonyesha mkeo kama unae unamfichaga jikoni....pu*&%*$#@ kabisa
ReplyDeletemimi napenda kazi ya ukocha nitamsaidia Mkwasa hata kwa free of charge. Nataka niwafundishe mbinu mpya za mchezo......
ReplyDeleteDogo, scott