tuko na dj meb (raba nyeupe) aliyetamba sana enzi hizo kule africana kabla ya kujichovya kwenye mambo ya tv akwia mmoja wa waanzilishi wa dtv na channel 10 kabla ya kwenda ughaibuni. sasa amerudi kucheki zari na aliyoyaona yemempendeza. mwenye pensi nyanya ni anwar na mwenye fulana nyeusi ni ali oki mwasisi wa kipindi cha kiti moto enzi zileeee...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Fulana sijaiona siku mbili tatu hizi sijui wamekuibia? Nimeanza kuimiss

    ReplyDelete
  2. Wabongo rudini nyumbani si mnaona wenzenu hao. Bongo kunalipa au mnasemaje?

    ReplyDelete
  3. Mbona hujamalizia utambulisho?Na huyo wa kulia kabisa (kushoto kwako Michuzi)

    ReplyDelete
  4. NIMEMISS SURA ZA WAARABU WA BONGO WANAITWA WAGUNYA KULE KWETU TANGA.

    ReplyDelete
  5. Nina hamu sana na Madafu wajameni.

    ReplyDelete
  6. kuro kapeto bana!!!

    ReplyDelete
  7. Hapo ni Ilala Mtaa wa Mwanza?

    ReplyDelete
  8. Huyo kulia ni Dj madaaaf squasher wa disco vumbi la Nsangangongele....ndugu zangu wazaramo wanajua hili.....luv tu madafuuuzzzz a.k.a tha bongo shilings
    muzee ya mujini...

    ReplyDelete
  9. Kweli michu hivi kile kipindi cha kiti moto kilikuaje kikatoweka unajua kilikua kinasaidia sana hawa waborongaji wa mambo, nakumbuka kipindi kile na pascal Mayala nae alikua mtangazaji Mh. kapuya aliambiwa ajipuye pamoja na wenzie waliochemsha kipindi kile Wizara ya elimu Palikua hapatoshi kwa madongo yaliyotolewa, watu walimalizia kiu na vilio vyao hapo.

    ReplyDelete
  10. michuzi nitumie namba ya huyo muasisi wa kiti moto nataka akirudishe wako jamaa wengi wa kuwekwa kiti moto lakini naskia huyu jamaa amekuwa muoga sana kwani nakumbuka niliwahi kusoma makala moja akisema anataka kukirudisha sasa anaogopa nini au na yeye yumo kwenye rrrrr?????????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...