

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Fulana sijaiona siku mbili tatu hizi sijui wamekuibia? Nimeanza kuimiss
ReplyDeleteWabongo rudini nyumbani si mnaona wenzenu hao. Bongo kunalipa au mnasemaje?
ReplyDeleteMbona hujamalizia utambulisho?Na huyo wa kulia kabisa (kushoto kwako Michuzi)
ReplyDeleteNIMEMISS SURA ZA WAARABU WA BONGO WANAITWA WAGUNYA KULE KWETU TANGA.
ReplyDeleteNina hamu sana na Madafu wajameni.
ReplyDeletekuro kapeto bana!!!
ReplyDeleteHapo ni Ilala Mtaa wa Mwanza?
ReplyDeleteHuyo kulia ni Dj madaaaf squasher wa disco vumbi la Nsangangongele....ndugu zangu wazaramo wanajua hili.....luv tu madafuuuzzzz a.k.a tha bongo shilings
ReplyDeletemuzee ya mujini...
Kweli michu hivi kile kipindi cha kiti moto kilikuaje kikatoweka unajua kilikua kinasaidia sana hawa waborongaji wa mambo, nakumbuka kipindi kile na pascal Mayala nae alikua mtangazaji Mh. kapuya aliambiwa ajipuye pamoja na wenzie waliochemsha kipindi kile Wizara ya elimu Palikua hapatoshi kwa madongo yaliyotolewa, watu walimalizia kiu na vilio vyao hapo.
ReplyDeletemichuzi nitumie namba ya huyo muasisi wa kiti moto nataka akirudishe wako jamaa wengi wa kuwekwa kiti moto lakini naskia huyu jamaa amekuwa muoga sana kwani nakumbuka niliwahi kusoma makala moja akisema anataka kukirudisha sasa anaogopa nini au na yeye yumo kwenye rrrrr?????????
ReplyDelete