Home
Unlabelled
mkutano wa wanahabari na jumuiya ya afrika mashariki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HUYU ULIMWENGU WASINGEMPAKAZIA ILE KESI YA URAIA, ANGEKUWA RAIS WETU KABLA YA KIPARA MKAPA....
ReplyDeleteCCM WALIJUA JAMAA ANGEWAPIGA BAO...
Tukiwa bodingi skuu walikisema kuwa wapo watu wana miguu yote ya kushoto nikawa siamini na hadi dakika chache zilizopita nilikuwa nafikiri sote mikono au miguu ya kushoto iko upande mmoja. Hiyo ilikuwa ni kabla ya kuona picha hii ambaye kwangu yuko kulia mwa picha lakini kwa mwandishi yuko kushoto.
ReplyDeleteHivi ni nani aliyeai Ulimwengu siyo raia!! Mtikila? Maana huyu jamaa sijui kwa nini anajiita mwana siasa na kwani wananchi pia wanamwita mwanasiasa!!!!! Au ndiyo amejificha kwa kutumina NGO yake ijulikanyo DP kwa mgongo wa siasa. Kwa karne ya sasa waTz hatuhitaji watu wanaojiita wanasiasa wa aina hii. Nchi inahitaji watu wanaojua kufikiri vizuri kwa maendeleo na siyo kila siku kurudi nyuma kimawazo. Huyu jamaa sijamsikia hata siku moja akipropose jambo ambalo ni mbadala ili nchi ipige hatua ila utamsikia yuko maelezo au mahakamani. Wakati wa vita ya mdomo imekwisha, sasa tunatakiwa kufikiri criticaly ili tuendelee na siyo bla bla za watu kama hawa
ReplyDeleteIt is that old pal Chattbar again who I haven't seen for many years. A message for you - remember the Trabbant and the highway challenge from the Mercedes 500s on the motorway. Yes, tukiwapisha "bila masharti" - out onto the slow lane and back again. Yes, something else - Darvenitsa and "Christo Botev". Good old memories keep flooding back...
ReplyDeletekaka michuzi, tujulishe mrembo pembeni ye mzee Tele ndiye aliye shuka usukani kumpindua jai wa mabongo staa
ReplyDeletemrembo lilly umependeza na mzee
ReplyDeletehuyu si ndio yule mzee aliekua waziri wa usalama wa raia,mvi ziko wapi tena ee
ReplyDeletekama ndio yule basi watu hawapendi uzee mamaa, kaweka super black au picol?
PAMOJA NA SUTI NZURI MBONA MCHANGO WENU KUHAKIKISHA VYAMA VYA UPINZANI VINAPATA HAKI SAWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI HATUUONI? MNAOGOPA KUFUNGIWA AU KUUKOSA UDISII?
ReplyDeletekaka muhidini, tumeona jengo la ushirika madhubuti kuliko kempisk zenji.Mambo yako kariiakoo..wadau wasisahau....vimbwanga. kijana wa kileo na mfupa wa ki-old...pazuri hapo. s-Class
ReplyDeleteBossi Michuzi, Pamoja na Macho ake makali, Dingi wa waluninga na vile vile bifu wa manji anaweza kuwa Pm au laisi.Mcheki..anavyo jichanganya na balozi volta, na fest ledi wa blela.
ReplyDeletebosi mzee wa luninga, unafaa kuwa laisi na festi ledi kutoka kaliakoo ushirlika, powa sana
ReplyDelete