Home
Unlabelled
ewaaaa haya ndio mambo....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
asante ni kweli tumepiga hatua. Je! Ni kweli Chenge kanywa simu kafa????
ReplyDeleteHivi watu wengine sijuhi. Akili finyu yani mtu kanywa simu akafa mahana yake nini? Nyamaza kama una matatizo na keydoard.
ReplyDeleteMULOX
Kaka Michuzi,
ReplyDeleteHivi huyu bosi wa ATC mbona amefanana na tsivangarai yule wa Zimbabwe ni mtu na nduguye nini au ndio ulimwengu watu wawiliwawili.
Sijuhi?? Mahana??? kisha unathubuti kumkosoa mwenzio, ka!
ReplyDeletemnapiga hatua kwa kukodisha ndege?
ReplyDeletemimi sijui tutafika somewhere lini?
mmewahi kuona ndege za Angola?inasikitisha kujidai na ka Airbus wakati wenzetu ambao walikuwa vitani kwa muda mrefu sanaaa wakati sisi tunafisadiwa na kuzidi kuwa masikini tunalumbana na muda ndo unazidi kwenda hivyo eboo!
ingekuwa imenunuliwa kwa pesa walizorudisha mafisadi ningesema ewaa!
masikini jeuri bwana!
mdau sweden
Jamani, msije mka overload hiyo ndege! Itanguka!
ReplyDeleteCongrats ATCL.Michuzi narudia tena kukumbushia.MATTAKA+OTHERS.WEBSITE YA ATC HAINA CHOCHOTE ZAIDI YA KUSEMA , TANGU NOVEMVBER MWAKA JANA!"THE WEBSITE IS UNDER MAINTENANCE FOLLOWING OUR REBRANDING"Msilale ATCL mpeperusha yetu,tunajua mmeliwa firigisi siku nyingi hata hivyo mmejitahidi sana lakini FISADI atakayewagusa sasa hivi tunakufa naye
ReplyDeleteHAYA MAMBO YA KUPATA GARI LA KUKOPA (LEASE) VICHWA VYA TRENI VYA KUKOPA ALAFU MENO THELATHINI NANJE YOTE MBILI. HASARA TUPU.HATA UKIWA NA NYUMBA YA KUKODI UNAPIGANIA UJENGE LAKINI UNATAMANI NA UNAPIGANIA UJENGE YA KWAKO THATHA HA WA WAZEE WA TEN PATHENT WANAPENDA KUKODISHA.
ReplyDeleteTUMAINI
Ama kweli ATC mnashangaza sana. Yaani kupata ndege moja ya kukodi mnafanya party na kumwalika waziri, yaani yote hayo yanakula pesa zaidi. Mtalipana allowance hapo, kisha waziri sijui nae per diem nk. nk ili mradi tu kuna sababu ya matumizi.
ReplyDeleteSasa ebu jiulizeni kama Kenya Airways wangekuwa wanafanya party kwa kila ndege wanayopata, si mwaka mzima ingekuwa party tu?!!
Pls fanyeni kazi, acheni ulimbukeni ala!
we MULOKOZI, yani umenichekesha, nimecheka hadi nime chock nikaishia kuhohoa,
ReplyDeletewell, hivi Mulokozi, wewe mwenyewe Muhaya halafu unajidai eti nawe unajua kiswahili, kweli umemkosoa anon hapo juu eti labda anamatatizo na keydoard, hiyo ni keydoard au keyboard??, then SIJUHi, MAHANA,
typing error kila mtu inamtokea sio lazima kila ukiona kosa ukosoe, kama unasahihisha mtihani hapo sawa, we are here to relax after working long days and mchaka mchaka wa kila siku, so sio lazima tuwe makiiini kwa kutype, samahani kama nimekukwaza,