fAMILIA YA MBUNGE WA BARIADI MH. ANDREW CHENGE IMEKANUSHA UVUMI ULIOENEA KILA MAHALI KWAMBA WAZIRI HUYO WA ZAMANI WA MIUNDOMBINU KABWIA SUMU NA KUFA.
MAI WAIFU WA MH. CHENGE, MAMA TINA CHENGE (AKIWA NA MUMEWE PICHANI) , AMELONGA NA GLOBU HII DAKIKA CHACHE ZILIZOPITA NA KUSEMA KWAMBA HABARI HIZO AMBAZO HATA YEYE AMEANZA KUZISIKIA TOKA JANA KWA KUPIGIWA SIMU KILA DAKIKA KUPEWA POLE SI ZA KWELI NA KWAMBA MAI HAZBENDI WAKE YUPO HAI NA ANAENDELEA NA SHUGHULI ZAKE ZA KILA SIKU KAMA KAWAIDA.
NAOMBA KUWASILISHA, HABARI NDIO HIYO...
"MZEE YUPO DAR NA YU BUHERI WA AFYA NA LEO KENDA MJINI KWENYE SHUGHULI ZAKE" AMESEMA MAMA CHENGE.
O
Kumbe hajafa bana! Noma sana!
ReplyDeleteAaaaaaaaaaah kumbe habari ndio hiyo mimi sijazisikia kabisa!! sasa kwa nini watu wanatunga faida iko wapi haswa?? kwani kufa kuko na kila mtu atakufa kwa hiyo kum zushia mtu ambaye ni mzima kabisa hata hajaumwa ni soooo, acheni sheria ifanye kazi yake jamani!
ReplyDeleteMhh! Wabongo kwa kuzusha ndio wenyewe! Mzee ana vijisenti kwanini afe bwanaaaa! Kule Bariadi mkewe anajulikana na Komandoo Tina/Suzzy maana alicharuka na kufanya vimbwanga wakati wa uchaguzi kuhakikisha baba anapata ubunge!! She is very tough!
ReplyDeleteah waende zao huyo mai waifu mwenyewe kama mwanaume
ReplyDeleteASAVALI MUNGU AMETUEPUSHIA NA HILO. MAANA USHAHIDI WAKE NI MUHIMU. KESI INGEFUTWA HIVIHIVI KAMA YA KAKA DITO
ReplyDeleteKAMA MICHU, SALAMU SANA.
ReplyDeleteHAO WANAOTAKA BABA YETU CHENGE AFE. NASEMA HATOKUFA KATIKA JINA LA YESU. WATAKUFA WAO WATAMUACHA HAPA HAPA DUNIANI. KAMA YEYE CHENGE NI FISADI JE MBONA LOWASA YUPO MPAKA LEO. CHENGE HAWEZI KUFA KWA HIVYO VIJICENT.
NI MZIMA WA AFYA.
KWANINI WASIMTANGAZIE ROSTAM AZIZ?TEHE TEHEEE INGEKUA PATASHIKA NGUO KUCHANIKA
ReplyDeletewabongo wachawii,mtu anakuua hivi hivi kwa midomo yao,bongo noma sana,fisadi si chenge mwenyewe.
ReplyDeleteWEWE ANON 2:17 PM,ACHA UFALA KAMA HUNA POINT YA KUSEMA FUNGA BAKULI LAKO.WEKA PICHA YA MAI WAIFU WAKO TUONE.MKE WA MTU ANAKUHUSU NINI??ETI ANAFANANA KAMA MWANAUME..SHENZI TYPE
ReplyDeleteivi mtu anavyomtangazia mwenzie kafa ni kwa faida ya nani????wabongo akili fupii sana
ReplyDeletePole sana bwana chenge na familia yako.Tunajua watanzania wametokea kukuchukia lakini tusimwombee mwenzetu kifo.Please Tanzanians.
ReplyDeleteSASA WATU WANAELEKEA PABAYA KUTANGAZIANA KIFO WAKATI BADO MZIMA.
ReplyDeletewatu wenye wivu wanaweza kuua mtu hivi hivi kwa kumfwatafwata, kwa maneno kumkatisha tamaa, tabia hii ipo ughaibuni, hata kwenye ofisi za serikali ni tabia mbaya inatakiwa iachwe haraka sana,uswahilina hado maofisini.
ReplyDeleteI have a feeling kuwa uzushi wa aina hii huwa unaanzishwa na marketing departments za kampuni za simu hapa bongo..Can u imagine the amount of money generated kwa huu uzushi thru SMS and calls? Roughly kila watu waliowasiliana kwa hii ishu wametuma a minimum of 3 msgs na wale walipigiana simu ni calls za a minimun of 1 minute..Wadau mnaionaje hii?
ReplyDeleteMAYEGO umeongea point muhimu sana....
ReplyDeleteMimi nilisikia kuwa CHENGE kafa na kichwa chake chenye kipara kinapelekwa burundi kufyonzwa damu... tehe te te te he he he tehe
HUO WANJA!
ReplyDeleteKUNAKITU KINANIUDHI SANA SISI WATANZANIA KWA UJUMLA PAMOJA NA MIMI MWENYEWE NI WANAFIKIII SANA HIVI KWANINI.MIMI BINAFSI NAPENDA MTU WA KAULI MOJA KAMA UNIPENDI BASI USINIPENDE KABISA MAANA HATA MIMI SIPENDI KILA MTU HAPA DUNIANI NA KAMA UNANIPENDA BASI USIFUATE MKUMBO WATU .
ReplyDeleteWow! hela mwana haramu na ni sabuni ya roho. Huyu mama hazeeki. Nilianzaga kumwona akiwa mdada sana tu na mimi nilikua na miaka kama 12 yrs old. Mara nikaja kumwona Dar tena nikiwa na miaka kama 18. Baada ya hapo ni miaka imepita mingi tu toka nimeondoka Dar kwa mara ya kwanza lakini hii picha na mumewe ni kama vile nilivyowaona the last time. Yaani tukisimama naye utazania mimi ni dada yake kumbe anaweza kunizaa huyu mama.
ReplyDeleteVijisenti vitamu sana narudi bongo kuvitafuta lakini mambo ya kuombeana kufa sio mazuri. Wabongo bwana
Why is this fool not in custody yet? Why do we look up to thieves, he is no different from someone who breaks into another's home, the only difference is he did it inthe comfort of his office. These people are traitors and they should not be allowed to walk free. I want to see legal action being taken against them all, starting with Lowassa, Msabaha, Karamang, Chenge and even Mkapa if he implicated inthe whole mess. Where is our law enforcement officers, anyone?
ReplyDeleteMAALIM ISSA TUNASHUKURU KWA PICHA "..MURUA.." KAMA HII CHENGE NA "..MWADANI.." WAKE WAMEPENDEZA SANA HASWA."..RESEPSHEN YA MAMA.." ANA.."..WANJA..HEA STAIL YANGUVU PAMOJA NA BLING..BLING SHINGONI..".."..WAWILI..".. HUFANANA..".. HASWA WAKIISHI PAMOJA KWA MUDA MREFU.."
ReplyDeleteMICHUZI NOMA SANA TENA MSHAMBA, SIJUI HAELEWI MAANA YA BLOG KAMA NCHI ZA WENZETU ZILIZOENDELEA, I THOUGHT UNEIGA MIFANO HALISI NDIO UKAFUNGUA BLOG.
ReplyDeleteMAONI YA MAANA YANAANDIKWA BUT YOU DO NOT POST THEM. WADAU WENGI PIA WAMELALAMIKA KWA JAMBO HILI.
FUNGA BASI HII BLOG, BULLSHIT, MAMBO YA KUPENDELEA BAADHI YA WATU, SIO FRESH. KAMA WATU WANATUKANA NA KUTUMIA LUGHA CHAFU SAWAAAAA USIYATOE, LAKINI WANAOMWAGA UKWELI, HUWATENDEI HAKI, MAULANA.
good job he has done.
ReplyDelete10 years as AG. One of the top jobs in the country.
i think he deserves to be the current president.
keep it up , the nation is behind you. we are all behind you , and we will support you now and forever,.
kidumu chama cha mapinduzi
FISADI AND FISADESS
ReplyDeleteYaani mdau wa May 3rd, 12:51am umeyatoa hayo maneno kinywani mwangu. Halafu hata English kwako naona ni richebo kabisa. Waswahili we see people who broke into our homes and stole our life savings and we treat them as heroes!! This kind of behaviour disgusts me. In my opinion hawa vigogo tuwalipe hela nzuri sana, I am talking Tens of Thousands of dollars a month, halafu tukiwashika wizi tuwafunge mpaka washangae. Maana hawa jamaa wanauza nchi hivi hivi bora tuwalipe tu wafanye kazi vizuri kama issue ni njaa.. Instead majangili bado yanaroam bungeni bila haya!! Crazy!!
Mdau - Boston, US
Huyo mama mbona amekaa kama dansa?
ReplyDeleteWeew kama huna hoja nyamaza umempenda nini mkewe unataka akudansie? akili fupi hizi muhdini usiziingize hawa ndio wanaleta kichefuchefu
ReplyDeletePole Mh kwa yote. sisi wana bariadi wapenda maendeleo tuko pamoja nawe. Hawa wazushi hawana hoja sasa wanatafuta kuuza magazeti kwa gharama ya watu wengine. Mwambie commando suzie afunge buti hata kwa hili tumawaaminia, IDUMU BARIADI YENYE KUTAKA MAENDELEO
ReplyDelete