Home
Unlabelled
amanda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh,,, kabint poaz... Hiv kavaa mlegez** ama vp manake naona chini ya ki-top kama vile unakwenda mojakwamoja....
ReplyDeleteanyoe mambo flani basi
ReplyDeletemiss keys
Mdomo wako dada unaonyesha mh!!
ReplyDeleteAmanda nitumie email kwenye atyini@yahoo.co.uk kuna kitu nata nikueleze kuhusu hiyo picha,sitaki kuwapa wana blogi faida.Niko serious da'Amanda
ReplyDeletehako kamstrai vipi chini ya tumbo , au ushazaa nini?
ReplyDeleteJirani mdaku
Amanda mimi ndiye Tyini hapo juu.email ni atyini@yahoo.com samahani kwa usumbufu.
ReplyDeletewewe tyini una tongoza ya kizamani sana!
ReplyDeleteSijaelewa vizuri kama kuwa miss ni kuvaa utupu-utupu tu! TAMWA mbona mmekaa kimya kuhusu hili? Kuna maadili yoyote ya mtanzania hapa?
ReplyDeleteWewe Tyini mwambie tu si mwenyewe kaweka mambo hadharani, jamani wakina dada hebu jioendeni jamani kuna riwa, mafuta ya nazi, machicha ya nazi, ukijisugua tu unatoka chicha, halafu jamani kuna kitu kinaitwa kioo jicheki kwanza kwenye kioo, tatu ungeulizwa kama ni magazeti ya nje unapeleka wapi hiyo furs? Kuna saloon, kuna cream you can do it yourself at home. Amanda, Amanda, usitoke nje kama hujajiandaa!
ReplyDeleteWewe miss keys mitaa ya brazil hapa mtoto wakike kuacha mstari wa mavuzi laini ni dili wewe.wewe kama yako kipili pili muache mwenzako atese.mtoto mzuri sana huyo.
ReplyDeletedada yuko tight!! hot
ReplyDeleteYap ni lazima uonyeshe mvuto wako,tutajuaje kama mtu amejaza makovu na wakati wakienda kugombea u miss ngazi za juu lazima wavae mavazi ya ufukweni,asili na hata ya kutokea jioni.Huwezi jua hiyo picha aliyopiga alikuwa wapi na muda gani.Because you have to dress according to occasion,angeingia hivyo msibani halali kushtuka au kanisani au msikitini.
ReplyDeleteThe girl is pretty bwana wacha mchezo,ila ni kawaida lazima wenye roho maskini wakandie badala ya kusifu.Be proud of your girl!!!
tumia cocoa butter katumbo keusi mwee
ReplyDeletena kweli hako kamsari kapo kwa kila msichana ila kakitanuka basi ni mtarajiwa...sijui mwenzetu vipi?
Bora hawakuchagua Richa sijui Racha mwingine. Mtoto poa kabisa nywele bab kubwa...siyo kipara na sn=mile yake ya kukata na shoka kama anajua kuongea mbele ya kadamnasi na miondoko kama ya Naomi Campbell basi anaweza kufika mbali kwenye mashindano. Mwambieni aanze maandalizi sasa ya tizi kali kabla ya mashindano hayo
ReplyDeleteHuo mstari mwanamke yoyote anao, haimaanishi kuwa umezaa, na wengine huwa inaonekana zaidi kuliko wengine, unaweza kuuona vizuri hata kwa kabint ka miaka 7. Btw GF ur smoking hot.
ReplyDeletebila kuonyesha hivyo vinanilii huoni raha hufurahishi kabisa kwanza unaonekana umezaa badala yakujiheshimu unajiachia achia unataka baby mwingine nini? makubwaaa ushauri wa bure kwa mamiss mkiwa mnavaa nguo zenu zinazofunika maumbile yenu kote mnapendeza sana na hata heshima inakuwepo lakini hivyooooooo puuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!
ReplyDeletesweet
Arusha.
WADAU WENGINE MNA WIVU! ATI ANYOE, OOO MSTARI MBONA HIVI - MWACHENI KIUMBE CHA MUNGU. KWANZA NYIE MNAONYOA NDIO HAMJUI MAMBO - KILA KITU KILICHOKO MWILINI KINA SABABU YAKE - NA NANI KASEMA NI UCHAFU? HAMJUI NDIO MAANA....KA! BORA MKAE KIMYA!
ReplyDeletemichuzi watu wamechafua hali ya hewa nawewe ulisema hutawapa nafasi..au matusi hujayaona mhh..ila huyu dada kajiaibisha halafu mkubwa huyu
ReplyDeleteI CAN UNDERSTAND MSTARI NI NORMAL KWA KWELI UNLESS KAMA WEWE NI SELEB. NA HAUJAWAHI KUKUTANA NA DEMU BASI WE ARE ALL SORRY. LAKINI WEWE ANONYMUSWA TAREHE 5 @1:33 WEWE ULIKUWA UNAANGALIA NINI KWA KA BINTI KA MIAKA 7. JAMANI TUWAANGALIE HAWA WATU OHHHHHHHHHHOOOOOOOOOOOOOO.
ReplyDeleteAnony.05june,10.09, nakusikitikia kwa kuwa pointless,kama ni mdada basi inaelekea huna confidence na your looks.
ReplyDeleteKama mtu ana uhakika na shape yake hana tumbo lililo mwagika kama mgonjwa wa utapia mlo,kwa nini asiringe na maumbile mama yake aliyompa?Lakini kama una mgogoro wa maumbile obvious lazima ufunikie.mabaka,harara,kitambi na vinginevyo.Halafu hajasema ametoka kanisani alipokuwa anapiga hiyo picha.Nyie ndio wale mnaotoka kwenda club usiku mmevaa ushungi.Mbona hamuelewi dressing according to occusion!!!!!!!!!!!
acheni wivu hoo mkubwa mara achafua hali ya hewa ! wa tz mbona mko hivi jamani !
ReplyDeletesasa utafananisha na lile dudumizi fide sijui.
she is still young! guys please give her chance to do what she intended to do. go go go AMANDA SULULU .
MSALIMIE FRED. NYIE WOTE WAZURI SANA JAMANI
duh! yarabi toba! mtoto mtaaamu! ananikubusha kulee agentina, jamani kama hujaoa tembelea argentina kabla hujaoa uone utukufu na uumbaji!! mie sisemi zaidi!!
ReplyDeleteMi nimezaa na mstari hauonekani, na sio kwa sababu ya rang yangu either.kwa hiyo sio lazima uwe umezaa ndio uwe na mstari, unaweza kuwa nao hata kama hujazaa, Muacheni.
ReplyDeleteSamahani @june 05 3:13pm,kabla hujaendelea,Mimi ni Mama mwenye watoto, na nimeelea watoto wa ndugu zangu ndo maana nikatoa mfano wa binti wa mika 7, Mimi SIO MBAKAJI.
ReplyDeletehiyo kitu imekaa utamu kwa kupiga piano, duu.....
ReplyDelete