Home
Unlabelled
jk na obasanjo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
angalia asikuuze huyo
ReplyDeleteMke wa Obasanjo ni mtanzania mwenzetu mswahili wa pale uswahilini vichochoroni Kigogo,Dar es salaam.
ReplyDeleteKikwete muombe akimaliza mkutano wa Sullivan aje kutusalimia mkutano wa hadhara watu wa Kigogo.Jamani sio vizuri aje atusalimie na atupe salamu za dada yetu au kama kaja naye waje kutusalimia.
KUNA KITU CHA MUHIMU SANA KWA MAENDELEO YA MTANZANIA AMBACHO ALIKIONGELEA MZEE OBASANJO KWENYE HOTUBA YAKE NACHO NI KUHUSU RIBA KUBWA ZA MIKOPO KWENYE BENKI ZETU ( 18% NA ZAIDI ) AKASEMA KWA KIWANGO HIKI MKULIMA WA KAWAIDA HAWEZI KUMUDU LABDA AWE ANALIMA COCCAINE HII MAANA YAKE NI KWAMBA VIWANGO VYA RIBA ZA MIKOPO KWENYE BENKI ZETU VIKO JUU NA VINAWANUFAISHA WENYE MABENKI NA HILI LINATHIBITISHWA NA UTITIRI WA MABENKI YANAYOFUNGULIWA KILA KUKICHA . NILITEGEMEA WAANDISHI WA HABARI WANGEIPA UZITO WA HALI YA JUU HABARI HII NA KUFANYA UTAFITI WA VIWANGO VYA RIBA KWENYE NCHI MBALIMBALI ZA AFRICA NA KUISHAURI SERIKALI , NAWASHAURI WABUNGE WETU WAICHUKUE HII KAMA CHANGAMOTO KWA SABABU HAINGII AKILINI BENKI HIZO HIZO ZITOZE RIBA ZINAZOPISHANA KWA KIWANGO KIKUBWA KWA WENZETU NA KWETU . WATANZANIA TUAMKE VINGINEVYO MAENDELEO TUTAYASIKIA KWENYE BOMBA TU AU LA TUTAYAPATA KUPITIA UFISADI .
ReplyDeleteObasanjo a man of great wisdom!He is very much at home in Tanzania much as he is in Nigeria.He made the Sullivan Eight more sparkling by his wisdom and Nigerian Jokes and Laughters as usual!Like that!
ReplyDelete