kris takka akiwa na nakaaya na mdogo wake patra a-taun

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2008

    MMh michuzi sasa hapa unatupiga chenga la macho, huyo si ni wewe kabisa hapo...........au ndio mambo yetu yale ya mkuu wa mko wa tegeta??

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2008

    Tanzania kwa kukopi. Tushakopi utamaduni wa Kijapani wa Geisha girls.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2008

    hapo sas mthupu unatupeleka peleka....!
    konozzzzz umetwanga weye kisha watwambi eti chiris takka.ama ndo speed ya sulivan????
    *KISODA*

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2008

    HAPO KAKA MICHU UMENIMALIZA KABISAAAA.
    SURA YAKO YA KIBANTU HALAFU WATUDANGANYA KRIS TAKA. WACHA MUCHEZO.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2008

    ha ha ha ha kriss taka!!nimecheka sana misupu!anyway naona unapiga mikonozzzzz a town!!i miss the tisheti piga hata siku moja wadau wa sulivani waisaminishe!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2008

    Mmh!! Utawahi!! Wewe ni wa Tegeta tu!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2008

    AAAaaah! kumbe huyo ndie Kris Takka mwenyewe wa bongo?!!!
    Menilifikiri yule wa Marekani, michuzi nawe kwa konoz tu, hujambo!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 04, 2008

    Michuzi huyu Nakaaya amekupa nini!!kila siku anakuwa kwenye blog!!kweli nimeamini biashara matangazo,maaana huyu dada naona yuko kwenye soko..na huko kichwani sijui kaweka ni yarabi au ndio kumuiga Miriam Makeba Teh teh teh!!!!??

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 04, 2008

    aisee familia ya sumari ina watoto wazuri hivi,dah!

    miss keys

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 04, 2008

    Mbona huyu Kris Takka anafanana sana na jamaa mmoja wa bongo anaitwa Misoup, mkuu wa kaya ya Tegeta? Au huyu ni Kris TAKA?

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 04, 2008

    Niseme nisiseme?Hako ka kulia mwa picha au kushoto mwa huyo mbaba nilisha.........

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 04, 2008

    Definetly Kris Taka in year 2020

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 04, 2008

    du! hongereni madada wa kichaga..sura zenu ndefu zimenifanya nijue nyie wachaga tu na dizaini ya vichwa vyenu.
    Jirani mdaku

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 04, 2008

    WEWE ACHA USHAMBA, TAFUTA JINA LAKO AMBALO LITAKUTAMBULISHA WEWE. KAMA WEWE MBOGA YA MAJIMAJI. SISI WANAINCHI WAKO WA TEGETA, TUNAKUITA(MBOGA YA MAJIMAJI)

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 04, 2008

    saffiiiiiiiiii kabisa kris takka wa ku kopi

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 04, 2008

    Msupu bwana! Wewe mmatumbi tosha!!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 04, 2008

    haya bwana

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 04, 2008

    Chris Taka Taka.....
    Misupu, Hii ya leo Kali mtu wangu, mbavu sina!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 04, 2008

    acha uzushi Kris takka gani?

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 05, 2008

    He he Kris Hataki...LOL! ushabadilisha jina mara tu!!! Wabongo bwana!!!!...na huyo asiyekuwa na nywele mwambie mwanamke nywele babu...kila nikimuona humu nadhani nani hii.....

    Niweke japo pembeni nami nionekane

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 05, 2008

    Yeah rite.......nice try misupu. But n e wayz say hi to the lady on your left, she's alluring.
    Mdau T-Dot

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 05, 2008

    HALAFU WE MISUPU KILA PICHA UKO NA HUYU DADA,NAKAAYA NAKAAYA KWANI HAKUNA WADAU WENGINE KILA SIKU HUYO TU???? AU USHAANZA KU.......NINI???

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 05, 2008

    jamani nakaaya huwa anapendeza sana na kipara chake. nakufagilia kichwa chako kwa kipara ndo mwake ila sio wote wanaonyoa kipara wanapendeza.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 05, 2008

    misupu umeniacha hoi.
    Ms Bennett

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 05, 2008

    we anony wa 4th june 07;02 hao si wachaga from when wachaga wakawa hivyo?????????hao ni wamasai upande wa mama na wameru upande wa baba lol.Eti wachaga?si mpaka

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 05, 2008

    halafu we unampenda huyu nakaaya...piga nafide basi mtafute bwana tuwekee kwa karibu

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 05, 2008

    yule ni chris tucker na huyo ni Kris takka wa sullivan acheni ubishi wabongo...teteteee mithupu naona jino kwa jino na nakaaya mpaka sullivan ikisha itakuwa kimeeleweka...

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 05, 2008

    Konoooooz!Mze si useme tu kama umesha JIKWAA hapo tujue na tukupe pole?Mmmmmmmmh maana mara ya pili hii katika masaa 48 nakuona na huyo kimwanaaaz,eeh bwana weee!Hilo Kono linanipagawisha,kulikoni?Hayo tuyaache,sema sasa umepiga BAO NGAPI? Au mechi ilikabiliwa na Ukame wa Magoli? Usimzingizie Maximo baba wa watu, aaaku!Uliyataka mwenyewe Michuuz, Mze wa Konoooooooooooooooooooooooooooooz!Konoooz Ze Totoooooooz ze Poazzzzz!Sullivan hiyo Mzee kumbe je!

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 05, 2008

    Hivi,kuwa mchaga ni dili? Sikujua mie!

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 05, 2008

    wadada mmependeza ni wazuri nakaya umependeza sana ila hiyo nguo sijui kama ni ndevu kwani unapendega kutuonyesha hizo zimiguu. haya na huyu chris takka kafanana na mirojo kweli hivivi kwani nimemuona mirojo kwenye maonyesho ya sulvan live yani kama mtu na mapacha.
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 05, 2008

    Nakaaya:Kipara everywhere on your body?Unapendeza sana we binti,mungu akuongezee nguvu.

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 05, 2008

    wachaga nani kasema, hawa wamasai bwana wachaga wazuri

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 05, 2008

    Mmmmmh sasa mambo ya ukabila humu yanatoka wapi tena!!?hivi sisi tunakuaje hapa tena,mwishowe ooooh FISADI,ebu tuache hii!nani kasema kabila fulani wazuri wengine wabaya?kabila zote poa,ni wewe tu unazitumiaje!
    Michu big uuuuuuuuuup bro sometimes yes,konoooz kama kawa kaka.
    Mdau

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 05, 2008

    huyo chris mbona mfupi?na pua kama papa wemba?babu noooooma.mikonoz kwa nakaaya is too reachable babu.

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 05, 2008

    Kweli wewe ni Kris "TAKO"

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 05, 2008

    pembeni kulia kuna picha ndogo ambayo chini yake imeandikwa jina issa michuzi naona hiyo sura imefanana sana na huyu kris takka naona watakuwa ndugu au mama mmoja tumbo mbalimbali


    Mbega Mweupe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...