Home
Unlabelled
waheshimiwa kibao bandani kwetu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mkuu Misupu nimekukubali mimi mwenyewe hao wote wasikubali sio washindani naona sasa wewe hiyo daily news ni boss msaidia au nimekosea maana sio mchezo watu unaonananao ni watu wakifahari sana sio mchezo na ni watu wakubwa wakubwa tu watu hapa wamekalia kuponda basi ndio wanachokijua sasa mimi bado nataka nikuone upige Snepu na kikwete tu basi hapo nitaweza wewe waziri mkuu msaidizi maana sio mkuu wa wilaya tena bali ni waziri mkuu big up mkuu kazi nzuri sana jitahidi tu.....
ReplyDeleteSUMAYE HAKUENDA KUTIA BARAKA ZAKE KWANI HANA HIZO BARAKA NA HAKUWAHI KUWANAZO, BALI ALIKWENDA KUJIKUMBUSHIA PICHA ZA ENZI ZAKE NA ZILE ZA MIKUTANO YA CCM NA WANACCM AMBAZO NINAUHAKIKA MLIZIWEKA PIA SIDHANI KAMA KUNA PICHA ZOZOTE ZINAZOWAONESHA WAPINZANI. HIKI NINACHOANDIKA KINATOKANA NA PICHA ZIWEKWAZO NDANI YA MAGAZETI YENU KWANI HUWA HAMUWEKI PICHA ZA WAPINZANI LABDA KAMA WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI.
ReplyDeletetunaomba utuonyeshe hizo picha kwa karibu na sisi tufikiche macho! asante, nawasilisha...
ReplyDeleteDuh huyu jamaa namsifu kwa kutinga suti zenye rangi tata. Yaani hata akivaa koti tu, linaweza kuwa la njano na draft draft. Kweli umasai umemkolea. Hapa naona kapiga nyeupe au laiti bluu. Labda anataka kufikia rekodi ya Chiluba? maana yeye (Chiluba) alienda Italy akarudi na kontena ya viatu na suti, of all colours. Bravooo
ReplyDeleteAhh Michuzi kumbe na wewe ukitabasamu unapendeza? nani anasema Kikwete hajafanya kazi si mnaona wenyewe hata michuzi anajua kutabasamu na kupendeza. Kumbe bado hujazeeka.
ReplyDeleteWaziri wa viwanda na Biashara wa nchi gani?Na Jina lake pliiz.Hivi unafanya kusudi?,wewe ni experienced,professional photographer hatutegemei ushindwe kutoa maelezo mazuri ya picha.Usidhani kila mtu anawafahamu mawaziri wote wa Tanzania.Toa maelezo ya kumsaidia anayeangalia picha apate kuielewa haraka.Kama nimekuboa usiibandike,lakini ni comment nzuri tu sioni tatizo lake.Michuzi blog yake usifikirie wanaingia watz tu,kuna raia wa nchi zingine wanaofahamu kiswahili wanaingia!Tuna marafiki zetu wasio watanzania tumeshawatumia blog yako.Make it international!Kuna mwanablog sehemu fulani nimeona anakuwambia usiwe unapost na vitu vingine visivyo vya msingi.SISI NDO WALE TUNAOPENDA KAZI YAKO,HATUTAKI IHARIBIKE.
ReplyDeleteBy Harun Dindane,Cote d'ivoire
Mze wa Konooooz Message imefika!Mambo ya Bongooooz hayo.Kama iko ona Paka tikisa mkia,Kwisa Ona Panya Dani ya Tundu,sikia!Kamueni Sullivan Wazee!Nasikia kimombo kila mbongo anajifanya wakuja toka Harlem NewYork!Eti ni kweliMichuuuz?Know what um sayiiing maaaan!Every Dam gonna be like Shi* maaaaan!Michuuz Yoo!Hebu nihesabie Mustachi hapo jijini zishafikia ngapi hadi leo usubuhi? Maaan Don' like keeping Goatie like Sh** maan.Wanna trim my Moustache and keep it glowing, know whatum sayiiiing maaaan,sh** maan if yo dont!My Momma gonna like it,sh** maaaaaaaaaaaaaaan!
ReplyDeleteBro umependeza na Suit yako ya Mwenge cjaamini ni kile kitambaa cha Kariakoo duuh kinawaka kweli umepatia Michuz Big tym jipe Raha hii ni Tanzania Zaidi uijuavyo.
ReplyDeleteWewe vip sio ya Mwenge hiyo suit naona mdau Chris Tucker alimwazima ili ma waziri wa Tz wamwone mkali hapo ananuniaki Misupu cjui kapida perfume gani?Hp hujatuangushahuko hahahahhahaha aminia Misupu
ReplyDeleteWadau
ReplyDeletemimi swali langu bado ni moja tu na linahusu utamaduni, je kweli wabongo hatuna ubunifu wa kutosha hata wakati huu wa mkutano kama huu mkubwa tukatinga katika mavazi au mitindo yake inayotutambulisha kuwa sisi ndio wenyeji na utajiri wetu ni huu? Kwa mfano mavazi kama hayo ndio tungeona yamevaliwa na waheshimiwa mawaziri, maafisa wa mabanda kv ya Daily News, nk. Ninapata taabu na nitaendelea kupata taabu na ubeberu wa kiutamaduni!!!!
Dat lovilly mdau hujui hii nchi imeuzwa mpak watendaji wake hawakurifikiria hilo hapo watu wana waza vijisenty tu ni ujing na ukoloni mamboleo ona Obasanjo yuko proud na nchi yake West Africanz Big Up!!!!Ndo maana mafisadi hawaishi hapo mijitu inawaza rushwa 24 hrs
ReplyDeleteAnonym wa 2:30pm & 3:04pm , you are not being fair to yourselves gentlemen!Huyo wa kubuni hiyo mitindo au Vazi la Kitaifa yuko wapi KAMA SIYO WEWE NA MIMI? Ukilaumu utamlaumu nani ikiwa wewe mwenyewe huna ulichokifanya na wenzako wakakiona? Huna Haki ya kulaumu iwapo wewe mwenyewe huna cha BADALA YAKE!Ungekuwa jasiri na kweli inakutia uchungu kwa kuona watanzania hawana vazi la utambulisho basi ungechukua jukumu la kubuni vazi uliloliona litafaa,kisha ukapiga picha yake ukiwa umelivaa au kalivaa mwingine ili watanzania waweze kuliona na kulitolea maamuzi.Mkutano wa Sullivan ulitangazwa kitambo.Kwa hiyo muda wa kutosha ulikuwepo kufanya yote hayo uliyo yapendekeza.Usinikumbushe yule Waziri alipofika Bungeni akasimama na kuanza kuilaumu sana Serikali kwa mapungufu yaliyokuwepo katika Jimbo lake la Uchaguzi!Akijisahau kwamba Yeye mwenyewe ni sehemu ya serikali anayo itupia lawama.Wengine wakabaki wanashangaa!Watanzania tuwe Jasiri Kutenda!Tuache kulalama.Watakao leta mabadiliko hapa nchini katika fani na sekta mbalimbali ni SISI WENYEWE.Hakuna Mtu Mwingine kutoka Mbinguni.Tuache Tabia ya kupenda kulaumu wengine kwa kutaka urahisiwa mambo.TALK IS CHEAP!
ReplyDeletehuyo mwanamke chini anafanana na mary nagu!
ReplyDeletemiss keys