dj bonny luv akiwa na mwenyeji wake mix-master dj luke huko washington dc asubuhi hii, wakijianda kwenda columbus, ohio, kwenye Oldskool Party of the Century. dj bonny luv ambaye kabeba mikwaju yote ya enzi hizo na sasa anauliza: je mko tayari wadau wa columbus na kwengineko kurukaruka wikiendi hiiiii????

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2008

    Mbona jamaa kama kanuna vile? Au ndo mapozi yenyewe?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2008

    Duh, jamaa tangu nianze kumjua ana kijiraba flani ivi cheusi mfano wa bangili kimevaliwa mkono wa kulia kama sikosei, naona mpaka leo kipo. vipi michu, ndo staili kama yako ya ze tisheti?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2008

    Haya haya, asiye na mokassin aazime wanchoma kumoyo! shughuli ndo hiyo tuliokuwa tunaisubiri! ila mi naomba kuuliza, sie tunnaotumia miswaki ya miti, mkaa tutapata? maana mmetuambia tuje na miswaki!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2008

    kwanza bwa shem umenifurahisha kuniwekee kandovu hapo juu manake silali bila kupata

    we unasema miswaki ya miti na midahaa je umesahahu mi nawatakia siku njema utamsubiri na sisi akirudi kwani mi hua ananikuna kweli kweli old boy mwe

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2008

    hii! nyinyi vijana hapa mnakubali
    kwa kuwa mmevaa ifulanaziiii!!!!!
    kidogo inafanana na ya mkuu wa Tagetaga

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 03, 2008

    nishaandaa wanchoma kwiru,dont miss the parry of the centuryy!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 03, 2008

    Just curious!!! Bon are you single?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 04, 2008

    Huyo wakupokelewa ni yupi manake hata hukusema wakulia au kushoto na wote wamechoka kama wamesafiri masaa 16 vile sasa hata hujui mgeni ni yupi na mwenyeji ni yupi.....

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 04, 2008

    Anony wa July 04, 2008 1:50AM,

    Wa kupokelewa ni kwa kushoto (mwenye jeans ya blue) ndio bonlove

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...