charlie chaplin akionesha vitu vyake. huyu bwana ambaye yuko kwenye banda moja la vinywaji baridi na vitafunwa ni kivutio kikubwa kwenye viwanja vya sabasaba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2008

    michuzi vipi wewe,sio charlie chaplin huyo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2008

    Umenikumbusha Sinema za Mission miaka ya 80 nikiwa kijijini kule Kibaoni Mufindi. Niliipenda sana comedy yake 'The Kid' ya 1921. Comedy zake nyingi bado Nyingi bado zinapatikana madukani!

    Mdau moped

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...