bosi wa masoko wa tigo kelvin twissa akicheza mpira wa kikapu na watembeleaji vijana wa banda lake leo. hii ni moja ya vivutio vikubwa katika banda hili ambapo mdau akifanikiwa kufunga anaondoka na zawadi kibao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2008

    jamani wadau niamieni kiingilio huko ni kiasi gani kwasababu hata sijasikia matangazo yanayozungumzia hayo maonyesho sio mbaya kupitia hapa nikajua kiingilio please kwa anaejua aniambie tks.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2008

    wakubwa 2000/= na watoto 500/=. Siku ya sikukuu 7,7 wakubwa 2500/= na watoto 1000/=

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2008

    Mpenda Tigo says: kiingilio kwa siku za kawaida Wakubwa ni 2000/- na Watoto 1000/- wakati cku ya kilele yaani 77 Kiingilio ni 3500/- Wakubwa na watoto 1500/- Upo??? Wako mpenda kampuni ya Tigo....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...