Michuzi na wadau wote wa blogu hii ya jamii,
Nahitaji kununua container moja la futi arobaini. Kwa mwenye nalo yeyote awasiliane nami kwa simu namba 0713270157
VIGEZO:Liwe limepatikana kihali na sio la wizi nikimaanisha liwe na document zote za umiliki.
Thanks saaaaana.
Mdau Joan.


Taja bei ambayo uko tayari kutoa tukupatie container. Average bei ya container lenye hali nzuri la futi 40 ni $2500.00, Sema uko tayari kutoa bei gani? issue za doc husiwe na wasiwasi. Huwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Tunakupatia kuanzia proforma invoice, invoice, na receipt
ReplyDeleteAsante sana mdau wa kwanza. Mimi nahitaji container la futi 40 kama nilivyotangaza hapo juu. Gharama yake utanipa wewe mimi nipo tayari kwa maelewano. Cha nyongeza ni kwamba ntahitaji na unipe gharama ya kulisafirisha mpaka kisarawe mjini. Tafadhali nipigie au tuma namba ya simu nikupigie.
ReplyDeleteThanks,
Joan.
MBONA HUSEMI WEWE UKO WAPI? UNAFIKIRI TUTAOTA AU?
ReplyDelete