prezidaa wa fm academia na muzee wa bamba nyoshi el sadat akijichana na mfadhili wao mkuu jerome leo kwenye viwanja vya sabasaba kabla ya kupanda jukwaani na kumwaga ngwasuma la nguvu. leo ilikuwa funga kazi, bendi zote kubwa zilikuwepo. twanga walikuwepo, kadhalika na akudo impac na baba wa muziki msondo ngoma kwenye mabanda tofauti

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2008

    menu yenu inavutia kweli,
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...