Home
Unlabelled
supa staa jongwe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jongwe amenimaliza sana. Ama kweli kelele cha chura hazimtishi tembo kunywa maji :) Piga ua, buruza garagaza Jongwe still the President.
ReplyDeleteKawapiga watu bao la kisigino. Refa yeye, mchezaji yeye na mshika kibendera yeye.
I really like this guy. Ni bora wamuachie tu maana ni mzee na ana miaka michache ya kutawala. Angewaachia wapinzani wangemuua kama Saddam.
Long Live Jongwe!
Yani hiyo ndo sababu yako ya kumuachia urais....kweli umechoka na huelewi kazi ya rais!
ReplyDeletemtoto aliyeenda shule
With Due respect, I have high regard for this guy, strong, determined and somehow derailed by the whites supremacy, include Tsangarai???, He run to Holland Embassy, when things get tougher, why not African Embassy.
ReplyDeleteIf he is installed on power, the state will be reduced to ping pong ball, depending on IMF, world bank and UN surrogates nothing more nothing less than a puppet state with little to offer to its citizen, probably the life will be the same as it is today.
JONGWE BIG UP! we love you to BIT, we africans are tied of being set up our mind and focus to the western propaganda and innuendo.
Mugabe was dining with Queen, He is in fact was given a LORD status by England, and now he is out of his MIND??? PLEAAASE! the guy saw a light out the tunnel, he was tolerant enough since independence, and he get tied of words from the English Masters, READ HISTORY to comment guys, thats the power of knowledge. HE IS CLEAR AS HIS CONSCIOUS.
Jongwe ndilo zee la kazi lililobakia Afrika. Wacha watu wachonge, Jongwe atabakia kuwa Jongwe tu!
ReplyDeleteJongwe Udumu. Anayekuchukia ameze wembe ajitose baharini. Peta tu Jongwe.
Kumwita huyu dikteta "Super Star" ni kosa la jinai, Huyu babu sasa hivi hana akili timamu na madaktari walisha sema hivyo. Huko kwao anaua watu kibao ili abaki madarakani. Hivi huyu angekuwa hapa kwetu bado tungemwita "Supa Staa"? I doubt it. Tuwatendee haki wenzetu wa zimbabwe. Hapaswi huwekwa hapa kabisa.
ReplyDeleteKuna siku Watanzania mtapaswa kuwa mashahidi wakuu wa kesi ya Zimbabwe. Si nyinyi ndiyo mliokuwa Mwenyeketi wa Nchi Zilizo Mstari wa Mbele wa Ukombozi Kusini mwa Afrika?
ReplyDeleteSi nchi zilizokuwa Mstari wa Mbele wa Ukombozi zikiongozwa na Tanzania ndizo zilizokuwa washauri wakuu wa ZANU na ZAPU-PF wakati wa mazungumzo ya Lancaster?
Si Brigedia Hashim Mbitta ndiye aliyekuwa Katibu Mkuu wa Kamati ya Ukombozi wa OAU?
Si Mzee John Malecela aliyekuwemo katika kundi la Seven Eminent Persons ambalo lilihusika pia na suala la uhuru wa Zimbabwe?
Leo Watanzania hao hao wamegeuka wamekuwa upande wa pili wa mazungumzo kana kwamba hawakuhusika katika kujenga mgogoro mzima wa Zimbabwe!
Tusome na tukumbuke historia.
AFRICA TUNAITAJI VIONGOZI KAMA MUGABE MWENYE MSIMAO,TUMEPIGANIA UHURU NA WATANZANIA TUMEWAGA DAMU YETU KUPIGANIA UHURU WA ZIMBABWE,UK WALITOA KILA AINA YA MSAADA KUWA NDUGU ZETU WAKATI HUO,HILO AWALI ZUNGUMZII,MANDELA WALIMFUNGA NA KUMWITA GAIDI LEO WANA MFANYIA BIRTHDAY PARTY TENA UINGEREZA NA SIO AFRICA,NAFIKIRI MZEE MADIBA NDIO ANAZEEKA VIBAYA NA SIO MUGABE ANAE PAMBANA NA UKOLONI MAMBO LEO,AKISHA PANDIKIZWA KIBARAKA TIVANGARAI WATAGEUKIA NCHI NYINGINE YA AFRIKA KWA MASLAHI YAO BRAVO COMRED MUGABE.
ReplyDeleteAfrika we have a problem kama diktekta ni supa staa. Wananchi wake wanakufa, huku jamaa linapigiwa makofi as if to say well done.
ReplyDeleteAfrica lazima tukubali ukolon mamboleo,hiv mnakumbuka kikwete alivyoingia madarakan akasema kwamba atashugulikia mikataba ya madin si mliona shiling ilivyoanza kupolomoka ad akaamua aende nao taratibu.
ReplyDeletetukikataa ukolon mamboleo tutakuwa kama zimbabwe,dola yao 50,000,000 sawa na dola 1 ya US.
bajet yenyewe tunategemea wafazil acha ukolon mamboleo utawale
supa staa jongwe hakika ndugu yote mnayoeleza humu ni sawa ila nguvu wakati wa leo haifai pili kumsifu mgabe ni kama kusema anavyoua watu ni sawa.
ReplyDeletehakika kiongozi wa haki na pia kuweza kuwashinda wazungu ni kuwa mwadilifu.
mgabe anapesa kibao katika account za nje wakati watu wake wanakufa.
waafrika tatizo ubaguzi mkubwa tunao angalia USA leo obama mkuu wa chama sisi majungu tupu.
afrika tutakuwa kazi yetu kuuana angali kenya na sehemu nyingi.
mzee jongwev your the best...wacha vibaraka wapige kelele..kwa mfano yule jaluo odinga eti anajipalilia kwa wazungu kwa kusema zimbambwe ifukuzwe toka au...mbona amesahau juzi juzi tu kibaki amemwibia kura na kujiapisha kua raisi kwa nguvu.mbona hajawambia au wamfukuze kibaki au kukimbilia kwa wazungu na kutoa hoja kama hii ndio anadhani uchaguzi ujao kenya wazungu watamtetea?fala wewe odinga wananchi wako wengi wamekufa kwa tamaa yako ya madaraka..alafu leo unaleta matashi, ya kujipendekeza kwa wazungu..mugabe ni mugabe sio wewe fala jaluo.........*ati unbafikiria obama akiwa rais america basi nawe utakua na madaraka africa..umeno raila odinga...mzee mugabe ndio shujaa anayekubali kufa..nchi yake
ReplyDelete'Magabe,Magabe!Stop calling me Magabe please!How many times should I tell you that my name is MUGABE and not MAGABE?I am Robert Mugabe of Southern Rhodesia which was later baptized into Zimbabwe and as a matter of fact we are thinking of again changing the name from Zimbabwe to something like ZIMBABA to give it a new look so that Citizens especially the Under 18 who form over 85% of the country's population who know very little about the old Mugabe will think I am a NEW PRESIDENT OF ZIMBABA,the republic that was, once upon a time!In Africa for those of you who are new here,Our Leaders never grow old,one simply chooses to be old!You can only be old in one department but not in all departments,pleaaase,Konoooooz you should know this!Waingereza wanataka kutuchagulia Demokrasia,ebo!Africa is just too hot to adopt cold democracry!Mapa watu wakutungue ndipo unapo pumzika!
ReplyDeleteHeroes never die but they reload long live Jongwe. EDO
ReplyDeleteMtoto (sorry kumbe sio binti) unaona leo wakubwa tulivyokutana humu ndani???
ReplyDeletenyie mumezaliwa 199X munadhani dunia ilikuwa rahisi kupatikana uhuru???/
MDUME HUOOOOOO!!!!! NYOKONYOKO HAMNA SASA.
Akifika home anapanga kikosi cha mauaji.. kiko wapi kilimilimi??
G7---ukubwa ni dawa.
UK
ALUTA CONTINUA..BAADA YA KUPATA UHURU TUNAHITAJI VIONGOZI WANAOPIGANIA UCHUMI/MAENDELEO/KOMESHA UFISADI
ReplyDeleteAchane upumbavu usio na maana yaani mwizi wa kura anaitwa shujaa?kwanza kabisa acha kufananisha Mugabe na Mandela,Mandela hajamuibia mtu kura wakati Mugabe kafanya kwa ridhaa yake bila wananchi style ya Kenya kimtindo.Wananchi wa Zimbwabwe wameenda kwenye uchaguzi na kuchagua Morgan halafu wewe unasifia Mugabe kapimwe akili tafadhali anony 1:10pm.
ReplyDeleteSuffering ya wazimbabwe won`t be permanent,they will learn a lot through their sufferings.Waafrica sisi ni wajinga because tomekua spoonfed for a long time.Kila kikicha the bread is on the table from wazunguz when are gonna learn how to put bread on the table our selves?Wazungu wametubrainwash sana na vimisaada vyao.Big up Jongwe.
ReplyDeleteUshabili wa kipuuzi, mtu anatesa watu kwa faida binfsi...mnamuona jogoo! Mungu tunusuri Wafrica!!
ReplyDeleteG7...yani unanikwepa kwenye kila kona!...but anyway...people shld be free to express their feelings. Mimi sipingi hilo hata kidogo. Wengi huku naona wanatoa support kwa Mugabe lakini sio kama wanasababu za msingi. Point zinazorudiwa ni hizo hizo tu! Mie sijali kama watu wana-support u-dikteta wakisingizia wanapinga vibaraka wa wazungu.
ReplyDeleteEnzi za kujikomboa kutoka ukoloni zilishaisha bwana. Times have changed...we need new thinking! Kama nyie mnabaki na mentaliti za kupigania uhuru...bakini nazo! I cant help u! Mimi najua kutoka kwa Wazimbabwe wote niliozungumza nao kuwa Mugabe amekuwa mjinga sasa. Uchaguzi haukuwa fair...democracy ilishindwa! Nimesoma comments nyingi ambazo hazina strong basis yeyote ya kufanya mtu useme huyu ni kibaraka! (wewe mwenyewe na comment yako ya falme ya uingereza ukanipa source ya kipumbavu...while i wanted the actual report). Wengine wadai kukimbilia ubalozi wa uholanzi inaonyesha jinsi alivyo kibaraka. Mara mdai Mbeki hasemi chochote...Mbeki mwenyewe kapigwa chini na chama chake! Zote ni weak arguments. Mimi nionavyo ni kuwa Mugabe's government haijaweza kuwapa wananchi basic needs therefore as a leader he has failed! Ubabe haifikishi mtu popote ! Nchi zilizoendelea zinajaribu kusaidia na sio kufanya sie makoloni! The fight has to be within...mafisadi walioko kati yetu, wabinafsi. Kuna vitabu vingi sana vya kiswahili (fictions) viliandikwa kuonyesha exactly what is happening at the moment. Wale wale wapigania uhuru wametugeuka! nchi inakuwa ya wachache...tunauzana tukiangalia!
NIMESOMA MAONI YOTE YA WATU AMBAO WANAMSIFIA MUGABE NA WANAOMPINGA.
ReplyDeleteKINACHONISHANGAZA NI WATU KUWALALAMIKIA WAZUNGU PASIPO UKWELI WOWOTE, UTAFIKIRI WAZUNGU NDIO WAMEPIGA KURA ZIMBABWE.WANANCHI WAZIMBABWE WALIPIGA KURA NA WAKAMCHAGUA MORGAN TSYVANGIRA YEYE AKAITISHA UCHAGUZI AMBAO HATA MPINZANI WAKE ALIKUBALI.NDIPO HAPO AKAANZA KUTUMIA UBABE WA KUMSHIKA MGOMBEA URAI WA CHAMA CHA MDC (MORGAN).KUMBUKENI WAZUNGU WA USIMAMIZI ALISHAWAFUKUZA ZIMBABWE SASA KWANINI WAZUNGU WALALAMIKIWE HAPA.KWANI YEYE ALILAZIMISHWA KUWEKA DEMOKRASIA ZIMBABWE.HAPA MUGAME AMEKOSA NA HILO TUNABIDII TULISEME
UKIANGALIA KWA UPANDE MWINGINE MUGAME ANA HAKI KUCHUKUA ARDHI AMBAYO ILICHUKULIWA NA WAZUNGU KIPINDI CHA UKOLONI NA HAPA NDIPO UGOMVI UNAPOANZA NA WACHUMBA ZAKE WA ZAMANI UK.NI HAKI YAO KUCHUKUA ARDHI AMBAYO ILICHUKULIWA KIMABAVU KIPINDI CHA UKOLONI JAPO TIMING YA UCHUKUAJI ARDHI HAIKUWA NZURI.KWANI MIAKA 20 KUPITA NDIO ANACHUKUA ARDDHI YAKE HUO NI UZAIFU WAKATI TANZANIA ILITUCHUKUA MIAKA SITA KUCHUKUA ARDHI YETU PALE LILIPO TANGAZWA AZIMIO LA ARUSHA 1967.
NI KWELI AMEONYESHA UJASIRI WA KUBISHANA NA WESTERN NA KUFANYA MAAMUZI YAKE LAKINI MAAMUZI AMBAYO MIMI NAYAITA SIO YA BUSARA KWANI WANANCHI WAKE NDIO WATATESEKA NA WAO WALISHAZOE VITAMU VYA TESCO.
NDUGU NZETU WAZIMBABWE WANAILEKEA KUBAYA KWANI INFLATION NI 100,000% UCHUMI GANI HUU AMBAO HAUJAWAHI KUTOKEA DUNIANI.
YETU MACHO TUANGALIENI NINI KINAKUJA MBELE NA TUANZE KUJIFUNZA MAPEMA KUHUSU DEMOKRASIA YA KWELI, LA SIVYO HATUTAFIKA AFRIKA.WATU KUONGEA NA KUANDIKA NI RAHISI LAKINI HATUFAHAMU NI JINSI GANI WENZETU WANAVYOUMIA.FIKIRIA, MFANO ULIKUWA NA BILLIONI 100 UNAAMKA ASUBUHI UNAAMBIWA FEDHA ZAKO THAMANI ZAKE NI 100,000.JE BADO UTAMSIFIA RAIS WAKO?................JIBU
MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU MBARIKI RAIS WETU AWE MWEPESI KUELEWA NA KUTATUA MAMBO YOTE MAGUMU KWA URAHISI PASIPO JAZBA, ILI TANZANIA TUSIFIKE WALIPO FIKA WENZETU WAKENYA NA WAZIMBABWE.AMIN
MJUSI
I second mjusi's comment! Kumbe kuna waelewa humu ndani! Swala la ardhi sijui hata mimi limiingiaje katika hii discussion ya hizi kura! Kama sikosie mnasema kuwa Tchangarai ni kibaraka wa Uingereza na wazungu kwa ujumla...na wanamtumia kwa sababu Mugabe aliwafukuza kutoka mashamba yao?...Hapo mimi sikubali na ninavyoona mmeenda mbali sana kutafuta point zenu! Ishu ni wazimbabwe weusi wenyewe hawamtaki! Sasa yeye anacheza ubabe...akidhani anawakomoa wazungu kumbe ni weusi wenzake ndo awaumizao. Wewe kweli unadhani Mugabe kufanya hivi yawaumiza wao. Ishu ni kuwa...as the international community tunatakiwa kuwasaidia wazimbabwe. Haya mambo ya kukaa na kuangalia mtu akivuruga nchi yake yalifanyika sana. Hitler ni mfano mmoja. Sasa matokeo waliyaona wenyewe. Mugabe asipoangalia Zim pataishia kama Somalia. wewe unadhani kama Mugabe asipo-ensure democracy...alafu akafa, hao wakuu wa polisi, majeshi na vibaraka wake wote watangojea kufanyike uchaguzi wa demokrasia? Hawataweza kukubali. Mugabe sasa ana-chance nzuri ya kunyosha nchi. Yani kwa vyovyote vile Mugabe kashikiliwa hapo na jeshi tu. Ndo hilo TU linamfanya awe mbabe. Sasa akifa itakuwa sooo. Narudia tena...lazima muangalie mbele mazee. Itakuja fanyika kitu mbaya sana.
ReplyDeleteMtoto aliyeenda shule....
PS:...nakungoja G7
well mtoto narudi soon, tatizo sikuwa nimekumbuka kwamba michuzi address imechange.
ReplyDeleteLakini mtotowewe hapa ukitakaje? unadhani swala la kura ni zimbabwe tu? unakumbuka florida(kwa kaka wa bush-Jeb bush) recount?
unafuatilia jinsi urusi putin alivyochange power na waziri wake sasa kuwa rais? mbona hao jamaa hawatii kelele?
hakuna uchaguzi ulio wa haki ndugu, sema tu wengine hupuuzia baada ya matokeo. na mara nyingi historia na mambo fulani hutawala.
Nadhani utakumbuka kwamba Mrema alishinda bara 1995 but nyerere na wenzake wakampa mkapa, seif zanzibar. mifano mingi but kwa watu wazima tunafunika kombe mwanaharamu apite.
wazimbabwe ni wazembe na hawajuwi nini kinaendelea nisawa na wewe unadhani serikali itakupa chakula, nguo, na malazi wakati wewe hufanyi jitihada zozote. wamepewa ardhi wanalala badala ya kulima .. so hakuna bure this life.
well nikweli dogo sikukupa report ya UN kwani sikuwa na muda wa kusearch na kwakuwa ilitangazwa sana BBC nilidhani msomi kama wewe unafuatilia matukio. but extract ya zile page utaona wanataja somewhere kuna that report.. so kazi kwako kuitafuta: usiwe kama wazimbabwe utafuniwe mpaka utemewe??
otherwise, hatakama unadhani ukombozi umeisha but ujuwe ukombozi bado. watu wanapambana na classes ambazo ndizo zinaumiza zaidi ya kitu kingine. kama upo huru kwanini mtu akupangie what to do??
SO dogo Jiunge na club yetu leo tunashangilia mpaka 2012 mwisho wa mugabe.
G7
UK
G7 nafurahi kukuona! Nimejaribu kuitafuta hiyo report yako...nilivyoelewa katika hiyo report UN Human right Council ambayo imeundwa na nchi kama Saudi Arabia, Cuba, nk. Alafu nadhani main ishu ni kuwa maintaining the Monarchy is very expensive to the British taxpayers which i think u r one of them! Sasa issue ni kuwa they want the ppl to have their say. Mimi sina uhakika sana na population ya foreigners walio na urai huko UK...but i think wakifanya referendum in lets say 20 yrs time...due to the change in population's demography yani wengi watakaopiga hiyo kura hawatakuwa wazaliwa wa uingereza hivyo kutoona umuhimu wa kuwa na a monarchy...yani kama wewe vile. Kuna kitu kinaitwa...4 King and Country. Mie personally nafagilia idea ya a monarchy hasa kama ya uingereza. Ni tradition...haina nguvu yeyote politically, sasa wats the point of gettin rid of it? Ni sawa na walivyoondoa Umangi!
ReplyDeleteOkay hiyo ilikuwa ni point ya nje.
Mimi nakubali kuwa Bush alipita kwa shughuli fulani 2000. Lakini swali ni je wananchi wangapi walikuwa wanam-support Bush. Huwezi kulinganisha hizi kura mbili. Sawa wizi ni wizi...lakini bwana Bush alikuwa na support kubwa tayari...yani it was close...sio kama Mugabe. Kuhusu Putin na mwenzake mimi nimeona ikiongelewa sana. Sawa hakuna action yeyote iliyochukuliwa. Hizo ni super powers sawa na kitu China inafanya Tibet. Wewe umeona Marekani ikikemea? nadhani uliona demonstrations zote za mwenge wa olympic. Sasa Bush ametangaza ataenda kwenye ufunguzi wa Olympic games. There is soo much that goes on behind the closed doors lakini haimaanishi kuwa tusikemee uovu! Mugabe ametenda uovu na inafaa akemewe. Na hali hii kweli hatutafika. Sasa wa Lowassa kuachwa bungeni. Sasa taabu iko wapi kwake?
Mie bwana kama nilivyouliza...wats next for Zimbabwe. Mugabe atashika nchi...swali ni badae. Hao vibaraka wake wanaomshikilia hapo...wakuu wa majeshi na kadhalika kweli watakubali ufanyike uchaguzi wa haki kibao kiwageukie? Mugabe ana chance nzuri ya kutengeneza nchi. Unajua...Power corrupts...ndo taabu.
Nitakupa mfano mwingine wa TZ. Tatizo kubwa ninaloliona ni jinsi CCM ilivyosambaa. Yani hivi vyama vya upinzani vinajaribu kuitoa CCM...kweli haitatokea. Hatuna mpk wa serikali na chama. Vyombo vya serikali kama polisi, jeshi, nk havitakiwi kuwa shabiki wa chama. Ngoja nikuulize swali...siku ikitokea wabunge wa upinzani wakawa wana-majority bungeni alafu rais akawa wa chama kingine...hapo kitaeleweka?
mtoto aliyeenda shule