WADAU KUNRADHI,
NINA FURAHA KUWATANGAZIA KWAMBA DAWA YA KWIKWI AMBAYO GLOBU HII YA JAMII ILIKUMBWA NAYO SASA IMEPATIWA DAWA YA KUDUMU NAYO NI KUONDOKA KULE MTAA WA
michuzi-blog.com
NA KUREJEA MTAA WA SIKU ZOTE WA
issamichuzi.blogspot.com
UAMUZI HUU UNAKUJA BAADA YA KUKUTA CHANGAMOTO ZA KWIKWI HAZIISHI KILA SIKU KUTOKANA NA LILE JARIBIO LA KUHAMA MTAA. HIVYO BASI WADAU NAWAOMBA RADHI KWA USUMBUFU, ILA MKAE MKIJUA YOTE HIYO ILIKUWA NI KATIKA KUBORESHA HUDUMA NA SI VINGINEVYO.
NATOA SHUKURANI ZA DHATI KWA WADAU AMBAO MMEKUWA NAMI KATIKA WAKATI WOTE WA KWIKWI HATA PALE GLOBU YA JAMII ILIPOKUWA HAIPO HEWANI. SINA CHA KUWALIPA ILA KUWAOMBEA MEMA NA FANAKA KWENYE SHUGHULI ZENU ZA KILA SIKU NA MAISHA YENYE AFYA TELE
HIVYO BASI LIBENEKE LINAENDELEA HAPA HAPA
issamichuzi.blogspot.com
KAMA KAWA
WENU MTUMISHI
MICHUZI
MH.MKUU WA WILAYA YA TEGETA TUPO PAMOJA.
ReplyDeleteMH.DC FULANAZZZ MBONA AIPAUKI,AU ZIPO NYINGI? MAANA KAMA NI ILE ULIYOISUBIRI IKAUKE KULE UJERUMANI NAZANI INGEKUWA IMEPAUKA EBU TUPE UFAFANUZI KIDOGO.
ReplyDeletemkuu wa wilaya ya Tege lenye utata umekubali yaishe sio?Msiwe mnakimbilia ving'aavyo bila kuchunguza kama ni dhahabu za gold kwanza.Pole sana na sitokosa hapa
ReplyDeleteWanaume Walishasema Utarukaruka Ila Nyumbani ni Nyumbani kijiwe ni kilekile tupo pamoja hahaah from Mzaramo Asilia. mtabadilisha vikao ila fundi musa yeye palepale hangatuki.
ReplyDeleteusituchoshe na kubadilibadili blog endelea na hiii issamichuzi tuliokwisha izoea
ReplyDeleteby mdau
Kaka michuzi, sikiliza bwana, wengine tupo ughaibuni huku, yaani blog ya jamii ni kama dawa kutwa mara tatu, nne au tana na kesho uje na chupa. Sawa kuomba radhi ni wajibu wa kila muungwana, ila tukuambie ukweli kwa muda mrefu tulikosa sana blog yetu.
ReplyDeleteCha ajbu kule nyumbani nasikia watu kibao hawafahamu na wengi wanakujua ni mpiga picha, nimepiga simu huko home naulizia blog naona bado ni msamiati. Amakweli, mitume woote kwao hawakukubalika. Any way, tupe dozi ya libeneke.
Uamuzi wa busara kaka, pamoja......!
ReplyDeleteIt was just a disaster and catastrophe move that you did, if it was a business you would have been lost a big chunk of opportunities, even now I am afraid that you might have been reduced the number of your WADAU by your flip floping forward and backward.
ReplyDeleteYou know what you were supposed to do! is that, creating it on the background in parallel with the old one, run a test on if it is workable then make some huge marketing and advertising hype/promotion of it in a bhanging way, colourfully and then see if it is okay then you close the old one, but not closing the old one even before being pretty sure of the new ones' workabilty.
Nowadays even charity organisations not for profit need to marketing themselves, a huge campaign to make themselves known to the public as without marketing and advertising how then are they going to get funds for their intend activities as always people will not give their money to something that not known.
You are just lucky simply because of you name as by itself is just eneough, huge and massive to be a marketing tool, actually indeed it is so huge and massive, who does not know you! MICHUZI the photo veteran supremo in this media industry! I am pretty sure if you decide to go for an MP contest/election you gonna win it straight away, your personality speaks by itself, you are very well known and very well connected to people, think of it in future bro. I really love.
And you are very intelligent and genius when it comes to these things as you know your market niche, I think you did a market survey before stambling into this business of blogging, as we have so many Tanzanians' blogs but they are not popular as yours, you know the news and stories that would attract people and you post them.
Blog originally is for simple and light stories/news, and that is exactly what you are doing, all the best Michuzi the photo supremo.
For now just stick to the old blog don't go anywhere.
Yours
Edward Alex Mkwelele.
michu umebania maoni yangu, modesta watuguru
ReplyDeleteNdio ukome na umbea wako wa kutangatanga!shem sweden..
ReplyDelete