ndani ya bunge mchana huu ambapo rais wa comoros amehutubia wah.
libeneke nikiwa na wadau sehemu za wami- sokoine, maeneo ya dakawa, sehemu ambayo waziri mkuu wa zamani marehemu edward moringe sokoine alipofariki katika ajali ya gari. kwa video ya sehemu hiyo nenda www.dailynews-tsn.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Bro michu nakupa tano kwa ubunifu. sehemu kama hizo ni rahisi sana kushaulika. Huyo jamaa mwenye shati la pink nafikiri ni Mtita, huyu bwana nilisoma nae ni mtu mmoja mstaarabu sana. Mpe salamu zake.
    Mdau, Ughaibuni

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    Tuletee snepu zaidi za mandhari ya huko Washington zaidi ya picha za hao waheshimiwa ambao tumezizoea.

    Jaribu kuwahoji baadhi ya waheshimiwa kuhusu mkwara aliopiga Spika 6 kuhusu watoro wa vikao vya bunge?

    Usisahau lile eneo la pandambili ambapo Wangwe alipata Ajali na kufariki.

    ReplyDelete
  3. Nakuaminia mkuu yani ile kisela maana ulibeba suti tu kwenye begi kwa ajiri ya kuingilia bungeni ulipotoka ni mwendo wa pamba zilezile za jana!si unaona

    ReplyDelete
  4. SASA UMEPATA SHATI LINGINE WATAKUKOMA MICHUZI..NANI KATOA MSAADA WA SHATI JAMANI??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...