Wanenguaji wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia 'Wazee wa
Ngwasuma' wakiwachengua mashabiki jijini Dar es Salaam juzi katika onyesho la Vunja Jungu
lililodhamniwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo

Wanamuziki wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' wakicheza miondoko ya Ngwasuma sambamba na mashabiki wao katika ukumbi wa Tabata, jijini Dar es Salaam juzi katika onyesho la Vunja Jungu lililodhamniwa na kampuni ya simu za mkononi ya
Tigo.
Mwimbaji wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia 'Wazee wa
Ngwasuma' Jose Mara akighani moja ya shairi lililo katia wimbo wa 'Anna'
katika ukumbi wa Tabata, jijini Dar es Salaam juzi katika
onyesho la Vunja Jungu lililodhamniwa na kampuni ya simu za mkononi ya
Tigo.

Wafanyakazi wa promosheni wa Tigo na wapenzi wengie wa FM Academia 'Wazee wa Gwasuma', wakicheza kama Njiwa katika ukumbi wa Tabata, jijini Dar es Salaam juzi katika onyesho la Vunja Jungu lililodhamniwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hawa Wacongo mani hawana maombolezo? si Mnenguaji wao ambae pia ni mke wa Nyoshi alifariki dunia last week?

    kama ni kwamba hawana maombolezo, basi hawa jamaa kweli muziki ni kazi yao

    ReplyDelete
  2. Anony wa 2:34; jamaa hawa hii ni kazi yao kama sisi tunavyoenda maofisini, n.k. Hivyo hawawezi kuacha kwenda ofisini. Sio kwamba wananengua kwa kujifurahisha au kustarehe, wanatafuta ugali ndugu yangu.
    Mtu unayefanya katika ofisi ya kawaida ukifiwa unapewa maybe siku 3 za maombolezo, baada ya hapo ni kazini.

    ReplyDelete
  3. nalitolela hongera kumpasha huyu yanki. Hawa ndo wale wale, kosa tu apate compyuta basi ataitilia hasira na kuandika hata visivyo na sababu ili mradi afurahishe roho yake na kujisifu kuwa kaikomoa compyuta. Kazi ni kazi, je wangekuwa wasanii wa flava wanaimba ungesemaje? Achana na Wacongo si lazima uwapende, kama una hasira zako kajichimbie shimo ulale.

    ReplyDelete
  4. club za bongo na dress codes????

    ReplyDelete
  5. anony wa 6:42 PM acha kujishaua. Huo ndio ushamba wenyewe, itakuwa umekuja Ulaya juzijuzi ndio maana unaosha kinywa hapa na kujifanya kuulizia mambo ya dress code. Kwani we ulipokuwa Bongo ulishawahi kuona kuna dress code uje kujifanya kuuliza hapa? isitoshe hata huku nje sio kila club ina dress code. Na zile zenye dress code kuna baadhi sio kila siku wana-enforce; kuna casual nights pia.

    Acha ushamba

    ReplyDelete
  6. Wakongo hata katika msiba huwa wanaomboleza na mziki,hila tu hapa
    bongo itabidi lazima wa´fuate mila na desturi zetu kuwa kuna msiba na kawaida ni siku Arobaini na matanga siku tatu,au saba lakini hawa jamaa inaonekana kama vile hapakuwa na msiba ni jambo la kusikitisha!
    na kwa kuwa wengi wao huwa wana uraia wa kujiandikisha ni lazima wajue mila za kwa ujumla,na msiba ni jambo la jamii yote

    ReplyDelete
  7. OVYOOOOOOO

    ReplyDelete
  8. YULE DADA ANATUMBO ZURI SANA BILA KUSAHAU LILE ENEO LA KITOVU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...