Wanenguaji wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia 'Wazee wa
Ngwasuma' wakiwachengua mashabiki jijini Dar es Salaam juzi katika onyesho la Vunja Jungu
lililodhamniwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo
Wanamuziki wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' wakicheza miondoko ya Ngwasuma sambamba na mashabiki wao katika ukumbi wa Tabata, jijini Dar es Salaam juzi katika onyesho la Vunja Jungu lililodhamniwa na kampuni ya simu za mkononi ya
Tigo.
Ngwasuma' Jose Mara akighani moja ya shairi lililo katia wimbo wa 'Anna'
katika ukumbi wa Tabata, jijini Dar es Salaam juzi katika
onyesho la Vunja Jungu lililodhamniwa na kampuni ya simu za mkononi ya
Tigo.
Wafanyakazi wa promosheni wa Tigo na wapenzi wengie wa FM Academia 'Wazee wa Gwasuma', wakicheza kama Njiwa katika ukumbi wa Tabata, jijini Dar es Salaam juzi katika onyesho la Vunja Jungu lililodhamniwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo.
Hawa Wacongo mani hawana maombolezo? si Mnenguaji wao ambae pia ni mke wa Nyoshi alifariki dunia last week?
ReplyDeletekama ni kwamba hawana maombolezo, basi hawa jamaa kweli muziki ni kazi yao
Anony wa 2:34; jamaa hawa hii ni kazi yao kama sisi tunavyoenda maofisini, n.k. Hivyo hawawezi kuacha kwenda ofisini. Sio kwamba wananengua kwa kujifurahisha au kustarehe, wanatafuta ugali ndugu yangu.
ReplyDeleteMtu unayefanya katika ofisi ya kawaida ukifiwa unapewa maybe siku 3 za maombolezo, baada ya hapo ni kazini.
nalitolela hongera kumpasha huyu yanki. Hawa ndo wale wale, kosa tu apate compyuta basi ataitilia hasira na kuandika hata visivyo na sababu ili mradi afurahishe roho yake na kujisifu kuwa kaikomoa compyuta. Kazi ni kazi, je wangekuwa wasanii wa flava wanaimba ungesemaje? Achana na Wacongo si lazima uwapende, kama una hasira zako kajichimbie shimo ulale.
ReplyDeleteclub za bongo na dress codes????
ReplyDeleteanony wa 6:42 PM acha kujishaua. Huo ndio ushamba wenyewe, itakuwa umekuja Ulaya juzijuzi ndio maana unaosha kinywa hapa na kujifanya kuulizia mambo ya dress code. Kwani we ulipokuwa Bongo ulishawahi kuona kuna dress code uje kujifanya kuuliza hapa? isitoshe hata huku nje sio kila club ina dress code. Na zile zenye dress code kuna baadhi sio kila siku wana-enforce; kuna casual nights pia.
ReplyDeleteAcha ushamba
Wakongo hata katika msiba huwa wanaomboleza na mziki,hila tu hapa
ReplyDeletebongo itabidi lazima wa´fuate mila na desturi zetu kuwa kuna msiba na kawaida ni siku Arobaini na matanga siku tatu,au saba lakini hawa jamaa inaonekana kama vile hapakuwa na msiba ni jambo la kusikitisha!
na kwa kuwa wengi wao huwa wana uraia wa kujiandikisha ni lazima wajue mila za kwa ujumla,na msiba ni jambo la jamii yote
OVYOOOOOOO
ReplyDeleteYULE DADA ANATUMBO ZURI SANA BILA KUSAHAU LILE ENEO LA KITOVU.
ReplyDelete