




Mamia ya wakazi wa wichita wajitokeza kwenye show kabambe ya Alikiba mjini Wichita Kansas wikiendi ilopita, iliyoandaliwa na vijana machachari wa
U-I entertainment office.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani hizi glob zitatuumbua nashukuru sijatokea sura.
ReplyDeleteWakali wa WITCHITA????!!!!
ReplyDeleteThose 2 guys Born and Raised in Htown.Acheni habari potofu.and they are Good.
hahaha hata mimi nashukuru sijatokea kwenye hizo picha
ReplyDeleteha ha ha..... mi nashukuru nimetokea kwenye hizi picha, nimevaa gauni la kijani kwenye picha ya chini (mwisho kabisa). Na nilipendeza kweli!
ReplyDeletewe anonymous acha hizo huyo mwenye gauni ya kijani si mzungu ina maana kaandika comment ya kiswahili.
ReplyDeletewe anonymous wa pili,vipi kwani kuwa born and raised in H town hawawezi kuja kutembea Wichita.Hii sio habari potofu hapo ni Wichita hata mimi nilikuwepo that day.Usiwe unasaandika kitu ambacho huna uhakika nacho.
ReplyDeleteMi hao wakali wa Htown sikuwaona kama ni wakali,waliwahi kuja hapa mwaka jana wala sikwenda.Mi naona wanapiga kelele tu,waambie wabebe box fani waachie wenzao kama kina Ali Kiba tulitoa dollar 20,lakini wao wakija hata bure siendi.
ReplyDeleteKwanza wanaimbia majina tu.
KUMBE WATHUNGU HAWARUHUSIWI KUANDIKA KOMENTS ZA KISWAHILI KWENYE BLOG HII!
ReplyDeleteWe anony wa pili toka mwisho,hizo chuki binafsi.kutoenda wewe kuwaangalia siyo kuwa siyo wakali, kwa wewe nani ?
ReplyDelete