Aisee kuna mdau kaifuma fulanazzzz ya jamii ikiwa katika stage za mwisho za (kubreach) kubalishwa rangi mitaa ya finlandi. Kaniambia nikustue na mapema...
Mdau Helsinki
-------------------------
Mdau wa Helsinki asante sana.
Hapana. Hii ngoma siyo yenyewe. Hii ina mistari minene zaidi. Ila nawashukuru wadau wote kwa kuwa macho. Kwa mwendo huu haki ya nani tena fulanazzzz ya jamii itaonekana tu
-michuzi
aisee jamani ze fulanazzzz ze kublichiwa,,,michu ebu mwambie yule mkimama uliepiga nae picha ukamkata arudishe alaaaaa
ReplyDelete