kipa wa zamani wa kimataifa wa pan african juma pondamali (pili shoto) akiwafua makipa wa timu ya azam fc ambayo yeye ndiye mwalimu wa makipa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kama yeye sijapata kuona. Alikuwa si tu golikipa mahiri bali pia entertainer mkubwa uwanjani. Miaka ya karibuni niliwahi kukutana naye ana kwa ana na nilimwambia alivyokuwa miaka yake ya uchezaji. Waandishi wa zamani wa Afrika ya magharibi hadi leo hawamsahau.

    ReplyDelete
  2. Ninakumbuka vituko vya Juma Pondamali pamoja na Marehemu Athmani Mambosasa

    ReplyDelete
  3. utundu na vituko vya pondamali vimewafanya wanigeria mpaka leo waamini kwamba alikuwa akitumia juju.

    umahiri wake golini ndiyo haswa ulioipa nafasi tanzania kwenda lagos.

    pondamali ndiyo alikuwa nyota ya mchezo kati ya Taifa Stars na timu ya taifa ya zambia[kk 11]iliyochezwa uwanja wa dag hamaskjolg.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...