Home
Unlabelled
juma pondamali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kama yeye sijapata kuona. Alikuwa si tu golikipa mahiri bali pia entertainer mkubwa uwanjani. Miaka ya karibuni niliwahi kukutana naye ana kwa ana na nilimwambia alivyokuwa miaka yake ya uchezaji. Waandishi wa zamani wa Afrika ya magharibi hadi leo hawamsahau.
ReplyDeleteNinakumbuka vituko vya Juma Pondamali pamoja na Marehemu Athmani Mambosasa
ReplyDeleteutundu na vituko vya pondamali vimewafanya wanigeria mpaka leo waamini kwamba alikuwa akitumia juju.
ReplyDeleteumahiri wake golini ndiyo haswa ulioipa nafasi tanzania kwenda lagos.
pondamali ndiyo alikuwa nyota ya mchezo kati ya Taifa Stars na timu ya taifa ya zambia[kk 11]iliyochezwa uwanja wa dag hamaskjolg.