Natumaini u-salama mh. ambasada wa Zain.
Mimi nina shida kiduuchu. Kuna vitabu navitafuta na kwa yeyote aliyenavyo nitavinunua kwa bei tutakayokubaliana. Ila ni bei nzuri. Vitabu hivi vimetungwa na SAM KITOGO miaka ya 80. Kwa sasa navikumbuka hivi hapa chini:
1: CHA MOTO UTAKIONA
2: NITAKUFA NAYE
3: UMELIKATILI PENZI LANGU
Kama kuna mdau ana vingine zaidi ya hivyo vilivyotungwa na Sam Kitogo nitashukuru pia.
Tuwasiliane kwa hii e-mail:
AHSANTE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hee huo mlolongo wa vitabu mie hoi !!! Pole kaka /baba unalo lililokufika

    ReplyDelete
  2. Jamaa anakuuliza kama unavyo hivyo vitabu sasa wewe unaongea nini? wanawake wengine bwana! Shule wapi weye? Umbwisi tu!

    ReplyDelete
  3. achana na hivyo vitabu vya umbeya kuna vitabu vya zamani kama KIKOSI CHA KISASI mtunzi E .MUSIBA hebu tafuta utaniambia hakiamungu hutolala kwa utamu wake

    ReplyDelete
  4. We anony hujaulizwa hicho kitabu unachosema sijui Kikosi nini sijui. Umeulizwa hivi vitabu na huyo muulizaji. Sasa unaleta habari tofauti. Vya umbeya umevisoma? Jibu km unavyo. Ovyooo!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...