Natumaini u-salama mh. ambasada wa Zain.
Mimi nina shida kiduuchu. Kuna vitabu navitafuta na kwa yeyote aliyenavyo nitavinunua kwa bei tutakayokubaliana. Ila ni bei nzuri. Vitabu hivi vimetungwa na SAM KITOGO miaka ya 80. Kwa sasa navikumbuka hivi hapa chini:
1: CHA MOTO UTAKIONA
2: NITAKUFA NAYE
3: UMELIKATILI PENZI LANGU
Kama kuna mdau ana vingine zaidi ya hivyo vilivyotungwa na Sam Kitogo nitashukuru pia.
Tuwasiliane kwa hii e-mail:
AHSANTE
hee huo mlolongo wa vitabu mie hoi !!! Pole kaka /baba unalo lililokufika
ReplyDeleteJamaa anakuuliza kama unavyo hivyo vitabu sasa wewe unaongea nini? wanawake wengine bwana! Shule wapi weye? Umbwisi tu!
ReplyDeleteachana na hivyo vitabu vya umbeya kuna vitabu vya zamani kama KIKOSI CHA KISASI mtunzi E .MUSIBA hebu tafuta utaniambia hakiamungu hutolala kwa utamu wake
ReplyDeleteWe anony hujaulizwa hicho kitabu unachosema sijui Kikosi nini sijui. Umeulizwa hivi vitabu na huyo muulizaji. Sasa unaleta habari tofauti. Vya umbeya umevisoma? Jibu km unavyo. Ovyooo!!
ReplyDelete